KENYA BINTI AJIUA KISA CHAPOOOO (CHAPATIII)

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,868

Pitia link iyo ina story ya binti aliyetaka kujiua kisa kugombea chapati na shangazi yake pale mjini Kisumu ni binti wa miaka 20. Wazazi Embu Jalini watoto wapeni kipaumbele ktk kila jambo
 
Back
Top Bottom