Kenya badilisheni mbinu Somalia baada ya Obama kuondoka

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,271
12,568
I think the US will not be your good allies under Trump and after Obama,, isn't it? What is your plan now about the Alishabab fight? Tafuteni njia ingine ya kulinda amani ya nchi yenu, chagueni mazungumzo (negotiation) na Alishabab badala ya vita. Vita itasababisha mfilisike kabisa kwasababu vita ya Alishabab ni vita ya kudumu sawa na ilivyo kwa vita ya Wapalestina au Taliban dhidi ya Zions. Huu ni ushauri wa bure kabisa kwenu.
 
When you grow out of your shithole you will realize that Kenya did not go to Somalia as anyone's proxy and it is not the only country in Somalia. But then again what do i know about Bongo propaganda?
 
When you grow out of your shithole you will realize that Kenya did not go to Somalia as anyone's proxy and it is not the only country in Somalia. But then again what do i know about Bongo propaganda?
Kwanini ni wakenya tu wanaokufa? Mbona hatujasikia vifo toka nchi zingine? Kiburi chenu ndio kuangamia kwenu.
 
I think the US will not be your good allies under Trump and after Obama,, isn't it? What is your plan now about the Alishabab fight? Tafuteni njia ingine ya kulinda amani ya nchi yenu, chagueni mazungumzo (negotiation) na Alishabab badala ya vita. Vita itasababisha mfilisike kabisa kwasababu vita ya Alishabab ni vita ya kudumu sawa na ilivyo kwa vita ya Wapalestina au Taliban dhidi ya Zions. Huu ni ushauri wa bure kabisa kwenu.
You just had to start a whole thread basing on misinformation without any idea what you are talking about.
And who told the US is funding the war, its mostly EU. Halafu nani alikuambia its Kenya vs alshabaab?
And you should know....ama wacha tu, from what youve written we huwezi saidika.
 
Kenya ni wateja wazuri wa silaha za marekani...acha waendelee kukaa huko ili waendelee kununua silaha za showgame...
 
You just had to start a whole thread basing on misinformation without any idea what you are talking about.
And who told the US is funding the war, its mostly EU. Halafu nani alikuambia its Kenya vs alshabaab?
And you should know....ama wacha tu, from what youve written we huwezi saidika.
Bro Nyang'au Hakuna anahitaji kusaidika, dude raised concerns after realising only your poor KDF are the victims of the mujahedin,
 
Kwanini ni wakenya tu wanaokufa? Mbona hatujasikia vifo toka nchi zingine? Kiburi chenu ndio kuangamia kwenu.

Kule kwingine(Ethiopia) hakuna Uhuru wa vyombo vya habari, ulitegemea habari ipatikane kivipi?
Halafu mbona kila siku mabomu yanalipuka kule Mogadishu na Puntland sijui Somailand tu!.
Jana Turkey,Nigeria,sijui wapi na wapi!
 
ok, I understand. A case of two brainless creatures blindly picking sides and supporting each with no logic attatched.
NEVER UNDERESTIMATE THE POWER OF FOOLS COMBINED.

Jomba, these fools have no idea what they're talking about.
Another one claimed some funny insinuations about the US Foreign policy hahahahahhahha!...you are wasting your time with them.
 
Kule kwingine(Ethiopia) hakuna Uhuru wa vyombo vya habari, ulitegemea habari ipatikane vipi?
Halafu mbona kila siku mabomu yanalipuka kule Mogadishu na Puntland sijui Somailand tu!.
Jana Turkey,Nigeria,sijui wapi na wapi!
Hapa tunaongelea Kenya. Hapa ni vita kati ya Kenya na Somalia. Wakenya wengi zaidi wanakufa kuliko wa somali.
 
sijawaijua kuna vita kati ya kenya na somali
Kwani Al Shabbab sio wasomali? Aliyeenda kuvamia nchi ya mwenzake ni nani? Wasomali au Wakenya?
Wanatakiwa wakae meza moja waongee na wasomali na madai yao yasikilizwe wasolve mambo ki diplomasia. Madai ya wasomali ni pwani yao. Wakijifanya Kenya bandidu watakimbia mno na hivi kaka yao Obama anaondoka wanabaki wapweke ni dhahili watakalia kuti kavu. Ni vyema sasa wabadili namna ya kutatua waingie kwenye mazungumzo maana vita waliyoianza hawaiwezi. Somalia ni nchi ya zamani sana ukilinganisha na kenya wanauzoefu na vita. walishapigana vita nyingi mno. Kenya lazima wasande mbele ya wasomali.
 
Bado unaleta kauli za ajabu ajabu zisizo na ukweli wala facts!
Nothing to support your assertions in red........GOODBYE!
Wewe mwenye facts na statistics zilete hapa tuone. Kati ya wasomali na wakenya nani wanakufa zaidi kwenye hii vita.
 
Back
Top Bottom