Kenya at 50: President Jakaya Kikwete speech

huyu baba kwa kuzurira hajambo bila shaka ata akiambiwa kuna birthday ya mtoyo wa uhuru kikwete ataendan.
 
Watu wa porojo ni shida kweli kweli.Hivi unamtaka rais wako ajifungie ndani kama mwali?Yani hasitembee au hasiwakilishe taifa katika shuguli za kiseeikali?
 
Watu wa porojo ni shida kweli kweli.Hivi unamtaka rais wako ajifungie ndani kama mwali?Yani hasitembee au hasiwakilishe taifa katika shuguli za kiseeikali?

Hawa watu mwenyekiti wao ni too local, hivyo isikupe shida kuwajua.
 
Mkuu huyu jamaa anaelalama anamatatizo.Kwahiyo hasialikwe nje ya nchi?basi aalikwe yeye.maana marais ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom