Kenya at 50 - Celebrating Kenya's 50th birthday and the many faces of Kenya

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
kenya50.jpg



kenya-flag_0.jpg



Kenya-at-50.jpg







CC
Invisible, Maxence Melo, Paw, JF Moderator 1, Buchanan, Fang, Moderator,, INNOVATOR,
Kabaridi, Smatta, Dhuks, Koborer, livefire, ivibration, mwathai, Lawmaina78,, Askari Kanzu, Geza Ulole, hekimatele, Nyani Ngabu, Edzeame, Kashishi,

12STONE, 24hrs, afrodenzi, AshaDii, Belo, BAK, Ben Saanane, BiMkubwa, Bishop Hiluka, Bukyanagandi, Chum Chang, Dingiswayo, FirstLady1, Geeque, MwanaFalsafa1, Idimi, Kibunango, Kichuguu, Kuhani, kui, LazyDog, Ladslaus Modest, Lighondi, Lole Gwakisa, Lusajo, macinkus, Mama Mdogo, Manda, Maria Roza, MaxShimba, mchajikobe, Mekatilili, Mkandara, Morani75, Mwafrika wa Kike, MWAKALINGA , Mzee Mwanakijiji, Mziba, Mwita Maranya, NaimaOmari, NDINDA, nukta77, Nyaralego, Ogah, Kiranga, Quemu, Rev. Kishoka, Roulette, Saint Ivuga, Sley, Steve Dii, Susuviri, The Boss, ukwelikitugani, WomanOfSubstance, X-PASTER, Young Master, MziziMkavu, Mbu, Nzi, MkamaP, SHERRIF ARPAIO, Bujibuji, Shadow, Cookie, JokaKuu, Bigirita, Mwiba, Babu Kijiwe, Dotworld, Gang Chomba,



DECEMBER 12, 1963

jomo.jpg
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Kenyans Gear Up For Kenya @50 Celebrations[/h]

It is expected to be the biggest celebration witnessed in the country since independence in 1963. And the importance attached to the Kenya at 50 celebrations was evident in Nairobi as organizers and entertainers put the finishing works on planned activities. Evelyn Wambui tells us what to expect in this year's special Madaraka day celebrations.

Kenyans Gear Up For Kenya @50 Celebrations - Citizen News
 
Last edited by a moderator:
A good analysis;
  • Challenges at Independence; Poverty, illiteracy, diseases
  • Challenges after 50 post independence; poverty, illiteracy, diseases, tribalism, grand corruptions, impunity,..., Who will become the Ken Saro Wiwa of Africa? BORA UKOLONI
 
Ten heads of State and Government have arrived in the country for the 50th Jamhuri day celebrations.

Among are the presidents of Nigeria, Malawi and Sri lanka and Uganda who had arrived by 7pm. Others who had arrived are from Eritrea, Burundi, Botswana, South Sudan and Tanzania.
--extracted from daily nation.

Hii si tym ya kuteta. So far we have achieved more as a country, including reducing poverty, improving on literacy levels and eradicating diseases. These are enough for us to celebrate as a country. Hayo mengine tutajaribu kuyatatua as we move on towards 100yrs of independence. A step at a time.
 
Africa nzima iko hivyo. Hakuna mwenye nafuu. At least you guys have a good constitution in place, sisi bado tumelala usingizi!!
don't condone tribalism through self consolation scale-wise and in comparison tribalism haiko kila mahali as that of Kenya is unique and has graduated! Anyway happy birthday on your nation turning 50
 
don't condone tribalism through self consolation scale-wise and in comparison tribalism haiko kila mahali as that of Kenya is unique and has graduated! Anyway happy birthday on your nation turning 50
They may have the tribalism scourge but let's not forget that Tanzania may have something else equivalent to tribalism that's even worse..............
 
Kuna vitu viwili nawapenda sana wanasiasa wa Kenya.

(1) Wabunge wake wanajiamini kwa madaraka waliyo nayo na hupenda kuyatumia effectively. Kwa hiyo huwa siyo wanafiki wa kutaka kumfurahisha raisi. Wabunge hao waliwahi kumshika koo waziri aliyeuza hoteli kinyemela mpaka ikamtokea puani. Wabunge wa Tanzania hawajawahi kusimama dhidi ya waziri yeyote pamoja na madudu yote yanayotokea Tanzania.

(2) Wanasiasa wa Kenya siyo wezi sana wa mali ya umma, kwani wanataka kutumia nafasi zao za kisiasa kujenga connection za kufanyia biashara zao binafsi kihalali; hiyo ndiyo zawadi kubwa ya siasa sehemu yoyote ile duniani. Kwa hiyo wakipewa kusimamia mradi wowote wa kitaifa hujitaidi kuufanya kwa ufanisi mkubwa sana ili wejijengee jina. Tanzania kila mwanasiasa hutaka atajirike kwa kutumia raslimali za umma. Akipewa kusimamia mradi wa umma basi sehemu kubwa ya gharama za mradi huo itaishia mfukoni mwake, na mradi huo hautakuwa na matokeo yoyote ya kujivunia.
 
NOT YET UHURU.

Uhuru bila mwananchi wa kenya kumiliki ardhi sio uhuru.Huo ni uhuru tu wa bendera na wimbo wa taifa.Hakuna cha kusherehekea uhuru hapo wanakusanyika kuimba wimbo wa taifa tu.
 
Did you know?
That Kenyan flag is ranked sixth globally in the list of prettiest flags in the world?
Check this out..

1. Mexico
2. Philipines
3. United Kingdom
4. Canada
5. Brazil
6. Kenya
7. Pakistan
8. Spain
9. Nepal
10. Montenegro

Prettiest Flags in the World
 
Did you know?
That Kenyan flag is ranked sixth globally in the list of prettiest flags in the world?
Check this out..

1. Mexico
2. Philipines
3. United Kingdom
4. Canada
5. Brazil
6. Kenya
7. Pakistan
8. Spain
9. Nepal
10. Montenegro

Prettiest Flags in the World

"The beauty is withn the eyes of beholder"... Elimu iwe na msaada bas eti unawekewa mpka list ya bendera nzur na ww unakenua tu.. kwangu bendera ya Tanzania ndio nzur na hizo zao zinafuata.
 
Kenya is celebrating 50 years amidst prevailing injustice in the land. What is there to be proud for?
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom