Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
- Thread starter
- #41
Kuna vitu viwili nawapenda sana wanasiasa wa Kenya.
(1) Wabunge wake wanajiamini kwa madaraka waliyo nayo na hupenda kuyatumia effectively. Kwa hiyo huwa siyo wanafiki wa kutaka kumfurahisha raisi. Wabunge hao waliwahi kumshika koo waziri aliyeuza hoteli kinyemela mpaka ikamtokea puani. Wabunge wa Tanzania hawajawahi kusimama dhidi ya waziri yeyote pamoja na madudu yote yanayotokea Tanzania.
(2) Wanasiasa wa Kenya siyo wezi sana wa mali ya umma, kwani wanataka kutumia nafasi zao za kisiasa kujenga connection za kufanyia biashara zao binafsi kihalali; hiyo ndiyo zawadi kubwa ya siasa sehemu yoyote ile duniani. Kwa hiyo wakipewa kusimamia mradi wowote wa kitaifa hujitaidi kuufanya kwa ufanisi mkubwa sana ili wejijengee jina. Tanzania kila mwanasiasa hutaka atajirike kwa kutumia raslimali za umma. Akipewa kusimamia mradi wa umma basi sehemu kubwa ya gharama za mradi huo itaishia mfukoni mwake, na mradi huo hautakuwa na matokeo yoyote ya kujivunia.
don't condone tribalism through self consolation scale-wise and in comparison tribalism haiko kila mahali as that of Kenya is unique and has graduated! Anyway happy birthday on your nation turning 50
Tribalism is always,,manifested during elections times,,or when a politician wants,,
to achieve something,,selfish.
But on other normal times,,,we are all together.
As i say many times,,that,,,you will never see a street,,in Kenya,,,for Luo only,,for
Kalenjin,,,shops for Kikuyus,,Matatus for Kambas,,,hospitals for Masais only.
If i get sick,,while in Kisumu,,,i will comfortably go the hospital there and get treatment
without one worrying about my tribe.
My first teacher,,many years ago,,,was a Luo lady,,,one who taught me,,the
first colors,,,green, blue,red,,i still remember.
Today,,,i have interacted with almost all tribes of Kenya.
So if somebody talks of tribalism in Kenya,,,,i fail to understand what they
are talking about.