Kenya and soccer

Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,632
Likes
8,940
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,632 8,940 280
Kenya nje, Uganda yashikwa Thursday, 02 December 2010 20:50

Vicky Kimaro
MABAO mawili ya mchezaji wa Ethiopia, Shemelles Godo katika kipindi cha kwanza yalitosha kuifungasha Kenya virago kwenye michuano ya Tusker Chalenji baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1, huku mabingwa wa mtetezi Uganda akilazimika kutumia nguzu za ziada kupata sare ya 1-1 na Malawi michezo iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Shemelles alifunga bao lake la kwanza kwa mpira wa adhabu dakika ya 24 uliokwenda moja kwa moja wavuni na kumwacha kipa wa Kenya asijue la kufanya, Godo aliongeza bao la pili dakika moja kabla ya mapumziko kwa kuunganisha kwa ustadi pasi ya Omond Okwury aliyeipangua ngome ya Harambee Stars na kumwachia mfungaji aliyempelea pembeni kipa.

Kenya ambayo iliingia kwenye mchezo huo ikiwa na matumaini ya kujirekebisha baada ya kipigo cha kwanza kutoka kwa Malawi ya cha mabao 3-2, waliamka katika kipindi cha pili na kufanya mashambulizi mengi kwa Ethiopia na kufanikiwa kupata bao lao kufutia machozi kupitia kwa Fred Ajwang aliyeunganisha krosi ya Bob Mugalia dakika ya 84.

Mapema mabingwa watetezi Uganda iliwabadi kusubili hadi dakika ya 76, kupata bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi kupata sare ya 1-1 dhidi ya Malawi.

Malawi ambao katika mchezo wa kwanza walichapa Kenya 3-2, walianza mchezo huo kwa kasi na kufanikiwa kupata bao la kuongoza dakika ya 2, kupitia Victor Nyirenda.

Naye Clara Alponce anaripokuwa rais wa Cecafa, Leodegar Tenga amefurahishwa na kitendo cha mashabiki wengi kujitokeza uwanjani hapo na kuzishangilia timu zao.

Alisema kitendo hicho kimeongeza hamasa ya mashindano hayo na kuwataka waendelea kujitokeza kwa wingi zaidi hadi Jumapili kwakuwa hakutokuwa na viingilio.

"Tuneondoa viingilio hadi mechi za Jumapili tofauti na awali tuvyosema mwisho kesho (leo) baada ya hapo mechi za mtoano zitakuwa na viingilio cha juu kitakuwa elfu 10000 na 3000.
xxxxxxxxxxx
Uwanja wa Taifa, Uhuru
Imani Makongoro
HATIMAYE Uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru umepata wasimamizi baada ya Serikali kumtangaza Rishiankira Urio na Josephine John kuwa wasimamizi wa viwanja hivyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sethi Kamuhanda, alisema kuwa serikali imemteua Urio kuwa msimamizi wa Uwanja wa taifa tangu Novemba 11 wakati shughuli ya kumpata mwendeshaji wa uwanja huo ikiendelea.

Mbali na Urio, Kamuhanda alisema kuwa Josephine amechaghuliwa kuwa meneja wa Uwanja wa Uhuru baada ya aliyekuwa meneja wake Charles Masanja kufariki Dunia mwaka jana.

"Kabla ya uteuzi huo John alikuwa Afisa Michezo mkuu, Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo hivyo atasimamia shughuli zote za uwanja huo.

"Urio ni Afisa Mwandamizi wa Ugavi na ununuzi Wizarani, pia ni Mratibu wa ujenzi wa eneo la Changamani la michezo la taifa (National Sports Complex) hivyo amepewa jukumu la kusimamia uwanja huo hadi pale tutakapompata mwendeshaji wa uwanja huo," alisema Kamuhanda. Kenya nje, Uganda yashikwa

NOTE: Jirani inabidi ukacheze cricket....hehehehe suprizingly not yet a news at the Nationmedia
 
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Messages
2,508
Likes
18
Points
135
U

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2008
2,508 18 135
Tatizo wakenya walifikiri wanacheza na watz, si huwa wanadharau wakifikiri wao ndo superpower wetu?...kumbe superpower aliyekuwa na na 10mill people wahawa chakula wanaomba kama matonya watu wawape chakula mwaka jana. hawa jamaa hawana lolote kabisa...kwanza wachezaji wao walio wengi ni wazeee, wamekomaaa kama hawali vile. na wale walio wazuri kidogo ndo walikuwa wanacheza soka hapa Dar es salaam, kwasababu kule kwao soka halilipi, na kiwanja chao ni kibovu, aibu tupu. wamekuja kushangaa uwanja wetu wa kisasa hapa hawataki hata kurudi Nairobi.
 
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,351
Likes
291
Points
180
Smatta

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,351 291 180
Tatizo wakenya walifikiri wanacheza na watz, si huwa wanadharau wakifikiri wao ndo superpower wetu?...kumbe superpower aliyekuwa na na 10mill people wahawa chakula wanaomba kama matonya watu wawape chakula mwaka jana. hawa jamaa hawana lolote kabisa...kwanza wachezaji wao walio wengi ni wazeee, wamekomaaa kama hawali vile. na wale walio wazuri kidogo ndo walikuwa wanacheza soka hapa Dar es salaam, kwasababu kule kwao soka halilipi, na kiwanja chao ni kibovu, aibu tupu. wamekuja kushangaa uwanja wetu wa kisasa hapa hawataki hata kurudi Nairobi.
Tunakaa tuna njaa sio, wacha nimalize shuguli kisha badae niingie Galileo lounge kidogo niangalie Dubai sevens nikipiga Tusker zangu, Kenya tunabumburushana na Samoa, sijui mbona waTz hawachezi huu mchezo, labda ni uvivu. Na jana ulimwona Rudisha kwa chirchill live, eti Usain Bolt anamheshimu sana? na mechi za volleyball wafahamu kuwa madada wetu ndio African champions? Na swimming je, wawajua akina Danford?

Management yetu ya mpira ndio mbaya, FKL ya akina Kasuve na KFF ya akina Hatimy ndio inaua mpira Kenya, tukishanyorosha hiyo sekta nina uhakika ata world cup tutaenda, I know you know its true.
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,632
Likes
8,940
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,632 8,940 280
Tunakaa tuna njaa sio, wacha nimalize shuguli kisha badae niingie Galileo lounge kidogo niangalie Dubai sevens nikipiga Tusker zangu, Kenya tunabumburushana na Samoa, sijui mbona waTz hawachezi huu mchezo, labda ni uvivu. Na jana ulimwona Rudisha kwa chirchill live, eti Usain Bolt anamheshimu sana? na mechi za volleyball wafahamu kuwa madada wetu ndio African champions? Na swimming je, wawajua akina Danford?

Management yetu ya mpira ndio mbaya, FKL ya akina Kasuve na KFF ya akina Hatimy ndio inaua mpira Kenya, tukishanyorosha hiyo sekta nina uhakika ata world cup tutaenda, I know you know its true.
hehehe likewise TZ can say the same on netball,body building au? the topic is soccer here! by the way tell Nationmedia to stop the bad looser spirit....the news is when Kenya wins sio? they need to grow up!
 
Hute

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
6,585
Likes
4,823
Points
280
Hute

Hute

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
6,585 4,823 280
kenya wanasifika kwa riadha tu, mchezo ambao hauna msisimko kabisa hapa africa. so, nasikitika kuwaambia kuwa, soka kwao wako nyuma na vilabu vyao ni mbofumbofu sana.
 
N

nomasana

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
966
Likes
236
Points
60
N

nomasana

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
966 236 60
tanzanians and their obsession with kenya is just sad. yall already trashtalking and you have not won the tournament yet. you people really got jokes.

football in kenya right now is in a sorry state no denying that. but we are best in the world at what we do best i.e running marathon and we dominate the WORLD!!!! while some of the athletes get paid sh!tloads of money doing it. even other sports that we are descend in playing we still manage to beat much of the world like cricket world cup semifinalists, rugby sevens worlcup semifinalists, setting commonwealth world records in swimming.

je watanzania which sport are u great(not good but GREAT) in playing????? tanzanians are a half descend on a bunch of sports but nothing outstanding just pure mediocrity. even the soccer yall claim that you are better than kenyans, how many african cup of nations has tanzanians ever appered in comparing to kenya??? how many CECAFA cups has tanzania won compared to kenya?. when it comes to sports tanzanians are not and will never be on kenyas level. PERIOD!

i cant believe yall fruities dared campare youselves to kenya in sports. how stupid must you be geza laughing at kenya in sports while you own country tanzania resides in the dark corners of sports mediocrity
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,485
Likes
14,782
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,485 14,782 280
Leo nipo home naangalia mpira hapa, zambia na somalia, taarifa ni kwamba KENYA wameamua kuuondoka na kurudi kwao mchana huu
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
16,632
Likes
8,940
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
16,632 8,940 280
tanzanians and their obsession with kenya is just sad. yall already trashtalking and you have not won the tournament yet. you people really got jokes.

football in kenya right now is in a sorry state no denying that. but we are best in the world at what we do best i.e running marathon and we dominate the WORLD!!!! while some of the athletes get paid sh!tloads of money doing it. even other sports that we are descend in playing we still manage to beat much of the world like cricket world cup semifinalists, rugby sevens worlcup semifinalists, setting commonwealth world records in swimming.

je watanzania which sport are u great(not good but GREAT) in playing????? tanzanians are a half descend on a bunch of sports but nothing outstanding just pure mediocrity. even the soccer yall claim that you are better than kenyans, how many african cup of nations has tanzanians ever appered in comparing to kenya??? how many CECAFA cups has tanzania won compared to kenya?. when it comes to sports tanzanians are not and will never be on kenyas level. PERIOD!

i cant believe yall fruities dared campare youselves to kenya in sports. how stupid must you be geza laughing at kenya in sports while you own country tanzania resides in the dark corners of sports mediocrity
but msiwe bad loosers people need to hear ur exit (right of information) na si media biased and full of propaganda like nationmedia!
 
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
448
Likes
1
Points
0
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
448 1 0
Geza Ulole nakubali unalosema ila safari hii mmepigika kisawasawa nanyi kubali tu.
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
14,378
Likes
8,748
Points
280
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
14,378 8,748 280
..kuna kitu kinaitwa specialization.

..Wakenya wame-specialize ktk mbio ndefu.

..kuna kipindi walikuwa wanaongoza, walipokuwa na wanariadha kama Kipchoge Keino. then the tide turned in our favor when we had Filbert Bayi,Shahanga,Nyambui,Ikangaa. baada ya hapo wametuacha kwa mbali sana. we need to learn frm them.
 
C

Certified

Member
Joined
Dec 31, 2009
Messages
54
Likes
0
Points
13
C

Certified

Member
Joined Dec 31, 2009
54 0 13
Kenya has sent a third string team to cecafa. Even regular local harambee stars players like edgar ochieng and wanga were left out. Let the young boys learn and get experience for future assignments.
 
Forum statistics

Threads 1,237,504
Members 475,533
Posts 29,291,085