ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 813
- 1,928
- Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limepunguza idadi ya wafanyakazi 220 tangu kuanza kwa mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kupunguza gharama za matumizi. Shirika hilo pia limepanga kupunguza mishahara ya watumishi wake hadi asilimia 30.
- Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo amesema wanakusudia kupunguza asilimia 35 ya matumizi ya wafanyakazi wake huku wakifanya mazungumzo na wauzaji wa ndege ili kupunguza kiasi cha marejesho ya fedha kwa asilimia 50 hadi pale sekta ya usafirishaji wa anga itakapopata ahueni kutokana na kuathiriwa na mlipuko wa virusi vya #COVID19.
- Takwimu za Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (IATA) zinaonesha kuwa kiwango cha usafiri wa anga kwa wateja kimeporomoka kwa asilimia 66 huku usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga ukianguka kwa asilimia 10.6 ndani ya mwaka 2020.
Source: #SerengetiPost
Covid 19 imekuwa sababu nzuri sana ya kuficha kushuka kwa uchumi Kenya.