Kenya Airways signs codeshare deal with Delta ahead of direct US flights

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
US-based Delta Air Lines has entered into a codeshare partnership with Kenya Airways on flights to and from Nairobi, coming as a boost to the national carrier ahead of direct flights to America.
The deal, which became effective on Wednesday, will see Delta’s code placed on Kenya Airways’ flights from Amsterdam, Paris, London, and Accra to Nairobi, enhancing connectivity and providing customers with a one-stop seamless travel experience from the United States.
Delta will place its code on KQ’s services to more than 10 key cities across Africa, including Addis Ababa, Lilongwe, Maputo, Johannesburg and Djibouti City.
“Delta is the leading American carrier between the United States and Africa. This new partnership with Kenya Airways’ will give customers even greater choice for travel between the continents thanks to Kenya Airways’ extensive network beyond Nairobi,” said Corneel Koster, Delta’s senior Vice President for Europe, the Middle East, Africa and India.

Kenya Airways Chief Commercial Officer Vincent Coste said they are delighted about the closer relationship with Delta and believe that this is a development that will continue to bring benefits to their customers and its business.
“Kenya Airways and Delta are both premier airlines and this agreement is a positive step in our cooperation,” he said.
Delta and Kenya Airways are both members of the SkyTeam alliance.
Frequent Flyers can earn and redeem miles on both airlines, while Elite Plus travellers benefit from SkyPriority services.
Delta has operated flights to Africa since 2006, and serves Lagos, Accra, Dakar, Senegal and Johannesburg.
Kenya Airways is scheduled to start direct flights to New York on October 28.

Kenya Airways, Delta sign codeshare deal ahead of direct US
 
Tanzania tuna codesharing agreements na faster na precision, hasa kama dreamliner imekwama mwanza na kia

Umeandika kama vile tumeahaanza safati za nje na Hapa kazi tu.

Jionee aibu

Hongera kwa wao na pia kuwa mfano wa nini Tanzania ifanye pia mbeleni tukianza kupisha ndege zetu kwenda nje ya nchi.
 
Kuna uzi nilisoma sehemu kwamba Dreamliner yenu imeharibikia Mwanza, vipi mumefaulu kuifanyia marekebisho na kama safari za ndani zinaichosha hivi, itaweza misele ya masafa marefu?
Ndege Mpya (Dreamliner) yafanyiwa matengenezo... - JamiiForums
Imeharibika Mwanza bado..
Abiria wamehamishiwa kwenye FastJet na Bombardier..
Na mbwembwe zote zile za uzinduzi kumbe ndege lenyewe bovu..
Hata mwezi haijamaliza toka ianze kuruka..
Ovyo kabisa.
 
kwahiyo ni mwiko ndege kuharibika!!.mbona unaonekana una akili zaidi ya hizi!!
 
Imeharibika Mwanza bado..
Abiria wamehamishiwa kwenye FastJet na Bombardier..
Na mbwembwe zote zile za uzinduzi kumbe ndege lenyewe bovu..
Hata mwezi haijamaliza toka ianze kuruka..
Ovyo kabisa.

Hatari sana, hapo mtatoana ngeu, kuna mtu atatiwa mimba na kuzalishwa, sio kwa aibu ambayo mnataka kumsababishia mheshimiwa na jinsi alivyojitolea na timu yake yote kwenda kuipokea ndege hiyo.

Na watu wakapigwa mapicha sana karibu nayo...

3g_0.jpg
 
Hii ni aibu gani 21st century.
Kupigwa mapicha hivii
 
Hatari sana, hapo mtatoana ngeu, kuna mtu atatiwa mimba na kuzalishwa, sio kwa aibu ambayo mnataka kumsababishia mheshimiwa na jinsi alivyojitolea na timu yake yote kwenda kuipokea ndege hiyo.

Na watu wakapigwa mapicha sana karibu nayo...

3g_0.jpg
Ushamba, hata watoto wa shule walitolewa Madarasani ili tu waitupie macho dreamliner? Talk of misplaced priorities.
 
Hatari sana, hapo mtatoana ngeu, kuna mtu atatiwa mimba na kuzalishwa, sio kwa aibu ambayo mnataka kumsababishia mheshimiwa na jinsi alivyojitolea na timu yake yote kwenda kuipokea ndege hiyo.

Na watu wakapigwa mapicha sana karibu nayo...

3g_0.jpg
Mkuu only primitive people can do this..
So kila ukinunua ndege utapiga picha za namna hii..!!
 
Kuna uzi nilisoma sehemu kwamba Dreamliner yenu imeharibikia Mwanza, vipi mumefaulu kuifanyia marekebisho na kama safari za ndani zinaichosha hivi, itaweza misele ya masafa marefu?
Ndege Mpya (Dreamliner) yafanyiwa matengenezo... - JamiiForums
I was imagining if it were of a section of our sgr track reaping off due to poor construction, or of one of the train breaking down or even derailing. The kind of jubilation that can be witnessed by this guys can break the internet.
 
[
Imeharibika Mwanza bado..
Abiria wamehamishiwa kwenye FastJet na Bombardier..
Na mbwembwe zote zile za uzinduzi kumbe ndege lenyewe bovu..
Hata mwezi haijamaliza toka ianze kuruka..
Ovyo kabisa.
Mnatumia zaidi ya dola milioni mia mbili kununua mkebe kama hiyo, mlikuwa mnategemea nini? Afadhali mngefanya leasing tu.
 
Kuna uzi nilisoma sehemu kwamba Dreamliner yenu imeharibikia Mwanza, vipi mumefaulu kuifanyia marekebisho na kama safari za ndani zinaichosha hivi, itaweza misele ya masafa marefu?
Ndege Mpya (Dreamliner) yafanyiwa matengenezo... - JamiiForums
Sidhani kama ndege mpya inaweza haribika haraka hivyo (unless ni serious pilot error ama engineer aligusa ambapo sipo) .... Kuna yule jamaa wa upinzania sijui ni mbuge alidai kwamba dreamliner yao ni 2nd hand ilienda washington kugeuzwa rangi na seat arrangement tu. Inaeza kua ilikua ukweli.... Kama vingekua vimefanyikia Kenya... eti tumenunua dreamliner alafu ikwamwe kwa airport, haki ya nani hatunge lala wiki nzima, kila mada ingekua mkenya akiongea anajibiwa dreamliner yenu this...dreamliner yenu that...... hamna ma engeneer, hamjui kupeleka..........

Natumai zile radar mpya walizindua pale JNIA wanajua kuzitumia sije ikawa jamaa wanaocheza ile game ya Air controller simulation ndo wana operate
 
Probably by now they would be on top of their voices somewhere atop Mt Kilimanjaro shouting how Kenya is a failed state.
 
Nashangaa hakuna hata mkenya mmoja alileta hii topic huku kwa kenyan section ili tuwachokoze. Kama ingekua ilifanyikia KQ, hio habari ingeletwa hapa na watz kama bado iko motomoto breaking news, hata wakenya wenyewe hapa JF wangekua bado hawajui kama vimefanyika. ingebidi wakenya waanza ku google mwanzo ku confirm ...
Boieing mpya hutengezwa kila kitu huko washington, ukipiga order ya boeing mpya huwa unajaza checklist ya kila kitu unachotaka kwa hio ndege including specification za rangi, seat arrangements hata material ya seats, choo, lighting, inflight entertainment....etc, Ikishatoka Washington hua iko 100% market ready.. Jamaa wa ATCL eti wanatuambia ilikua wanatengeneza WiFI ... hahahaha ... expansion joint excuse all over again
 
Wa kwanza angekuwa ni Geza. He's like that monk devorted to studying Kenya like some kind of religion. He would have come guns blazing through his pseudo account mkikuyu akili blabla. He might be somewhere hiding his face in shame.
 
Back
Top Bottom