Kenya airways KQ wana ndege 3 tu.

sasa si yale yale tu wana ndege 28 ila za shirika3 wanakula hasara,

tunazo7 zote za kwetu tunachoingiza hakifikii kinachotakiwa kwa service achana na mishahara na mengine.
 
Uchumi wako ulishuka kuchangiwa na vita, usisahau hilo kijana wangu.
 
Uchumi wako ulishuka kuchangiwa na vita, usisahau hilo kijana wangu.
Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!
 
Haya wewe unayefikilisha...
Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!
Hebu funguka na data za uchumi wa nchi tatu hizi Kenya, Uganda na Tanzania kabla Community na baada ya Community.

>• Usibwabwaje kwa wazo hasi.
 
Back
Top Bottom