kenya airways...a.k.a precissionair yashindwa kuruka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
wana ndugu ile ndege ya kenyaairways inayoondoka asubuhi saa kumi usiku leo imewalaza abiria mpaka saa tatu pale ilipopata technical problem
wakiongea kwa huzuni abiria walioko wakiwemo vikongwe wawili waliokuwa kwenye wheel chair uku wanasinzisinzia walisema wanasikitika sana kule kenya hakuna kitu kama hiki sijui haya mambo yataisha lini tena...hata hivyo wafanyakazi wa kenyaairways ambayo inatumia ndege ya precission air 737/200 walifanikiwa kuondoka b=mida ya saa mbili kamili.....pongezi kwa wafanyakazi wa kenyaairways walikuwa very cooperative na abiria hatimae wakaondoka.......
 
mihela ya kifisadi hamna tena hivyo kufund project inakuwa tabu. pw will die a natural death like community airline. cancellation nyingi na uzungushaji wa ku-issue ticket. kwa wanaoona mbali pw haina maisha saaana. heko air tanzania jikongojeni mrudishe safari za dubai, uk, sa, etc. ila air tanzania wazee wote watolewe kwa kuwa by principle very old employees are conservative to changes.
 
wana hali mbaya kwa kweli maana kuchelewesha safari kwao limekuwa jambo la kawaida.
 
wana ndugu ile ndege ya kenyaairways inayoondoka asubuhi saa kumi usiku leo imewalaza abiria mpaka saa tatu pale ilipopata technical problem
wakiongea kwa huzuni abiria walioko wakiwemo vikongwe wawili waliokuwa kwenye wheel chair uku wanasinzisinzia walisema wanasikitika sana kule kenya hakuna kitu kama hiki sijui haya mambo yataisha lini tena...hata hivyo wafanyakazi wa kenyaairways ambayo inatumia ndege ya precission air 737/200 walifanikiwa kuondoka b=mida ya saa mbili kamili.....pongezi kwa wafanyakazi wa kenyaairways walikuwa very cooperative na abiria hatimae wakaondoka.......

hivi KQ siku hizi wanapewa Reg ya 5H............?....na wameanza kufanya domestic routes nchini.....?.......nimeuliza tu......
 
Mwehu tu huyo hajui aongealo, toka lini pw wakaenda nairobi alfajiri au unaona aibu kuisema kq
 
Back
Top Bottom