Kenya agrees to buy Iran oil, then bows to American pressure!

Kenya wameona mbali, hawataki kitu chochote kiingilie kasi ya maendeleo yao. Tanzania tumejiingiza kwenye vita ya wakubwa tusubiri kukiona cha moto. Hutuna ubavu wa kupambana na US na Europian Union. Amini usiamini tutaumia tu. Siandiki kishabiki lakini ndiyo hali halisi. Kwanza huko serikali yetu inashinda kukopa.
 
nadhani sababu kuu kenya kugeuza msimamo ni kwa ajili ya mipango ya kigaidi ya iran kutaka kulipua mabomu 30 nchini
 
Back
Top Bottom