KENWOOD Mziki mnene unauzwa

Mitumba ya kizamani sana iyo inatumia disk hata siyo DVD itoe wapi flash iyo kama siyo flash ya kuungaunga. Iyo inasoma cassette na disk za audio tu hata siyo mp3. Alafu eti laki saba kko walikuwa wanaiuza mitumba hadi laki na nusu sikuhizi imeadimika

Ipo pale kanisa la kkkt Kariakoo kibao laki mbili
 
Black chinese tatizo lako umejaa mizaha sijui kama wafas kuaminiwa kwa biashara siriaz
wanazouza kariakoo zinatumia cassetes, radio na cd tu.. hii yangu inatumia flash, bluetooth, radio, cd na cassetes ndio maana bei ni tofauti kaka.. isitoshe amplifaya ya redio hii ni kubwa kiasi inaweza kusukuma spika kubwa kuliko hizi
 
mkuu mbona kama haupo serious na biashara.iyo laki 7 na nusu si napata SONY watt 1200.ivi kweli hata wew ukiwekewa uwo mziki wako na SONY watt 1200 utachagua nini mkuu?
 
kaka huu muziki sio hata wa kuufananisha na sony ya watts 1200... labda kama we ni mpenzi wa home theatre na sio muziki.. hata hivyo nimeandika mahongezi yapo.
 
Mitumba ya kizamani sana iyo inatumia disk hata siyo DVD itoe wapi flash iyo kama siyo flash ya kuungaunga. Iyo inasoma cassette na disk za audio tu hata siyo mp3. Alafu eti laki saba kko walikuwa wanaiuza mitumba hadi laki na nusu sikuhizi imeadimika
nimeshangaa hata mimi yaani ina usb?
 
mkuu mbona kama haupo serious na biashara.iyo laki 7 na nusu si napata SONY watt 1200.ivi kweli hata wew ukiwekewa uwo mziki wako na SONY watt 1200 utachagua nini mkuu?
unaijua hiyo redio vizuri mkuu!!!!

kama unazngumzia uzamani unawezakuwa na hoja ila sio hizo watt zako za kukaririshwa kwenye risiti.
 
Huo mziki ni wa zamani, uko modified kwa kuwekewa chip ya kusoma mp3 na bluetooth ambazo zinauza elf10, zina power consuption kubwa kutokana na teknolojia yake, ni watts 240 tu, huo ukubwa usiwatishe, buti mziki wake umechujika vizuri sana huwez kuufananisha na mziki wa mchina, pale agrey wanauza 700,000 mpaka 450000 kulingana na hali na ukubwa wa redio.
 
ok.. waambie pia watts 240 za muziki huu ni kubwa kuliko watts 1200 za home theatre za kariakoo.
 
Huo mziki ni wa zamani, uko modified kwa kuwekewa chip ya kusoma mp3 na bluetooth ambazo zinauza elf10, zina power consuption kubwa kutokana na teknolojia yake, ni watts 240 tu, huo ukubwa usiwatishe, buti mziki wake umechujika vizuri sana huwez kuufananisha na mziki wa mchina, pale agrey wanauza 700,000 mpaka 450000 kulingana na hali na ukubwa wa redio.
kuhusu power consuption kubwa, tatizo sio technology yake, bali ukubwa wa watts zake.
watts ndio zinazokula umeme, mfano ukitumia bulb za watts 100 zinakuwa na mwanga mkubwa, na zitakula umeme mwingi kuliko za watts 50, halikadhalika kwa pasi ya watts 1000 na watts 1500.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom