KENWOOD Mziki mnene unauzwa

black chinese

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,146
1,227
inatumia cd
inatumia flash
inatumia bluetooth
bei 720,000 (laki saba na elfu ishirini)
inapungua kidogo
kwa maelezo zaidi 0687 089980
iko mkuranga, ukilipia utasogezewa mpaka mbagala.
20190811_155637.jpeg
20190811_155611.jpeg
 
Mitumba ya kizamani sana iyo inatumia disk hata siyo DVD itoe wapi flash iyo kama siyo flash ya kuungaunga. Iyo inasoma cassette na disk za audio tu hata siyo mp3. Alafu eti laki saba kko walikuwa wanaiuza mitumba hadi laki na nusu sikuhizi imeadimika
150K unadanganya mie yangu Technics niliifata Zenji kwa 450K nikaivusha maji kwa gharama zangu mwenyewe kisha unasema hapa K/Koo utaipata kwa laki na 50???

Labda kama ya wizi!
 
...............Hii kitu ni noma mkuu,nnayo Technics hizi radio ni radio hakuna wa kuzishinda ila zinawafaa wagumu kama wewe mtu wa mataa mataa kaonane na kina Bwashee pale Uhuru au Agrey street wakupe subwoofer zile za kichina.
Okey..safi
 
Mitumba ya kizamani sana iyo inatumia disk hata siyo DVD itoe wapi flash iyo kama siyo flash ya kuungaunga. Iyo inasoma cassette na disk za audio tu hata siyo mp3. Alafu eti laki saba kko walikuwa wanaiuza mitumba hadi laki na nusu sikuhizi imeadimika
wanazouza kariakoo zinatumia cassetes, radio na cd tu.. hii yangu inatumia flash, bluetooth, radio, cd na cassetes ndio maana bei ni tofauti kaka.. isitoshe amplifaya ya redio hii ni kubwa kiasi inaweza kusukuma spika kubwa kuliko hizi
 
...............Hii kitu ni noma mkuu,nnayo Technics hizi radio ni radio hakuna wa kuzishinda ila zinawafaa wagumu kama wewe mtu wa mataa mataa kaonane na kina Bwashee pale Uhuru au Agrey street wakupe subwoofer zile za kichina.
ni kweli.. wale wa mataa hawawezi kunielewa hapa
 
hata hii yako ni kopi.. mara ya mwisho samsung ku produce s7 ilikuwa mwaka 2016.. ukiona mpya ujue wachina wametumia fursa
Umejuaje kama yake ni fake au we ni hater tu? Mwenzio kasema 320 wewe unataja za aggrey 250 kwani kataja mwaka wa simu yake hapa eti 2016..wabongo kwa kuchukiana bila sababu tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom