Kennedy Fungamtama; Wakili aliyewasilisha Hukumu ya Dowans Mahakama Kuu!

YES kinaweza kwasababu Mahakama ni muhimili wa dola na Bunge ni muhimili wa dola na ni marufuku kujadili jambo lilo mahakamani hii ni kwa mujibu wa sheria ya nchi.

My take.

Wameamua kuchukua hatua hii ili kuzuwia mjadala kwenda Bungeni.

Basi hii ni ishara kwamba;

1. Kweli malipo ya dowani ni dili hewa la kifisadi
2. Serikali imeshagundua kwamba haina uwezo wa kujibu hoja bungeni
3. Pengine watashinikiza mahakama kuu ikubali hukumu ya ICC kisha walipe pesa hizo haraka waje kusema walitekeleza hukumu ya mahakama kuu
4. Serikali na ccm hawawezi kabisa tena kuongoza hii nchi. Kila siku kuna ama kauli au tendo tofauti kuhusu malipo ya dowansi
 
1. Inakuwaje kuhusu offa ya Nimrod Mkono kujitolea kutetea serikali "bure"?

2. Hukumu ya dowansi hatimaye kusajiliwa mahakamani inapelekea kufutwa deni au ndio mwanzo wa mchakato wa "kupunguza" deni? Hasa tukizingatia sasa kwamba configuration ya dowansi, ccm, na serikali imesimamia mhimili mmoja - RA
 
hapo itakaposhindikana kwa bunge kuijadili dowans kwa mujibu wa sheria kisa itakua mahakamani,nina uhakika ndia utakua mwanzo wa wadanganyika nasi kuingia mitaani kama wenzetu huko northern africa kupinga haya malipo!
 
Kwaniii?? hao Tunisia na Misri hawakuwa wakitanganza amani katika nchi zaoo? Tuchapane ndo akili zitakaa vizur.. Kauli za kishenz zimekuwa nying mno kama vile nchi hii ni yao, ufisadi wa nje nje tena bila kificho jaman. Natamani baada ya Tunisia na Misri Tz tunaunganisha hata Dunia itatuunga mkono
 
Kwaniii?? hao Tunisia na Misri hawakuwa wakitanganza amani katika nchi zaoo? Tuchapane ndo akili zitakaa vizur.. Kauli za kishenz zimekuwa nying mno kama vile nchi hii ni yao, ufisadi wa nje nje tena bila kificho jaman. Natamani baada ya Tunisia na Misri Tz tunaunganisha hata Dunia itatuunga mkono
 
YES kinaweza kwasababu Mahakama ni muhimili wa dola na Bunge ni muhimili wa dola na ni marufuku kujadili jambo lilo mahakamani hii ni kwa mujibu wa sheria ya nchi.

My take.

Wameamua kuchukua hatua hii ili kuzuwia mjadala kwenda Bungeni.
Ni kweli ndugu yangu Finest, nakubaliana na mawazo yako kuwa wameamua kutumia mhimili mmoja wa dola ili kuzuia mwingine (Bunge) usiweze kujadili
 
Kwaniii?? hao Tunisia na Misri hawakuwa wakitanganza amani katika nchi zaoo? Tuchapane ndo akili zitakaa vizur.. Kauli za kishenz zimekuwa nying mno kama vile nchi hii ni yao, ufisadi wa nje nje tena bila kificho jaman. Natamani baada ya Tunisia na Misri Tz tunaunganisha hata Dunia itatuunga mkono
 
ni wakili huyu huyu ndio anaesimamia kesi ya mpinzani wa kafulila kule tabora.
 
huyu alisoma kuja kuwakomoa wananchi wa taifa hili, na hata sasa hivi anasimamia kuipindisha kesi ya kafulila.
 
Back
Top Bottom