Kenani Kihongosi ampigia kampeni Shekha Fakhi Mpemba jimbo la Konde, Pemba

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
327
414
PEMBA ZANZIBAR

Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.

Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua Ndugu Shekha Fakhi Mpemba.

Alisema ili kutatua changamoto mbalimbali katika jimbo hilo, anahitajika kiongozi mahiri kama Ndugu Shekha Fakhi Mpemba, hivyo wana Konde wasipoteze nafasi hiyo wamchague ili ashirikiane nao kuleta maendeleo.

Alisema kwakua Ndugu Shekha Fakhi Mpemba amesoma kada ya elimu lazima atakwenda kukwamua watoto wetu kwenye swala zima la elimu, na atashirikiana na Serikali ya CCM katika kusimamia elimu Bila malipo.

Ndugu Shekha Fakhi Mpemba Atashirikiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dr Hussein Ally Mwinyi kuleta Maendeleo Kwa wananchi wa Konde.

Mwisho Katibu Mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Laban Kihongosi amesisitiza Kudumisha Umoja na mshikamano pamoja na kulinda Amani ya Taifa.
 
Ivi polepole hajui kama ugonjwa upo ? Au anagomea tu kuchanja J J vaccine na astra ? Basi achome sputinik au ile ya wachina na wa iran
 
Ila na yeye Kama Ni pandikizi akijiuzulu baada ya kushinda inabidi CCM kula naye sahani moja.

Yule aliyejiuzulu lilikuwa pandikizi Sasa huyu aambiwe kabisa huo mchezo wa huyo mwenzio ukiucheza wewe utajua CCM Ni chama Cha siasa au chama Cha wapemba wauza urojo darajani pale Zanzibar
 
WaTanzania walio wengi wapo njiani kuelekea kwenye KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi na hawana kuelekea kuchoka ,sasa ni usiku na mchana safari ya katiba mpya ikimaliza hapo ndo tutawasikiliza kina kingozi.
 
Back
Top Bottom