Kempinski, mambo mazuri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kempinski, mambo mazuri!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbu, Jun 10, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kempinski Opening the 74 room Bilila Lodge Kempinski, the Largest Lodge Ever Built in the Serengeti National Park

  Kempinski has announced that Bilila Lodge Kempinski will open on 1 June 2009 in the Serengeti National Park, one of Tanzania’s UNESCO World Heritage sites, claiming a first as the only global hotel chain to have a stake in the lodge market.

  With just 74 rooms (including two private villas), Bilila Lodge Kempinski perfectly combines the intimacy of a lodge and the facilities expected of a much larger hotel, such as an infinity pool overlooking the grasslands and an Anantara Spa. Due to strict building controls in the National Park, this will be the largest lodge ever built in the Serengeti.

  As expected of a UNESCO World Heritage Site, the Lodge has been built in keeping with the landscape. Not only does the arc-shaped building follow the natural contours of the land, but as far as possible only local materials have been used in its construction to ensure that it blends into its surrounds. For example, over a million traditional “chelewa” brooms have been used to create the thatched roof and the stone for the walls was sourced from nearby Mugumu. The interiors also reflect the natural colours of the African landscape, with the work of local artists adding colourful highlights.

  Public areas include a restaurant with an open kitchen, a lounge, a bar, a wine cellar, an authentic boma (or corral) where guests can enjoy moonlit barbecues, a conference room accommodating up to 80 people, a library, a play room, a fitness centre, an art gallery and a gift shop. All the guest rooms have luxury ensuite bathrooms, multimedia DVD players, over 50 satellite TV and radio channels, coffee/tea making facilities and a teak deck for relaxing while watching game (personal telescope included); suites have their own private plunge pool.


  [​IMG]

  Bilila Lodge Kempinski Guest Room

  .
  [​IMG]

  Bilila Lodge Kempinski Entrance

  Bilila Lodge Kempinski is located in the Central North of the Serengeti National Park, in an untouched part of the Park where the hotel will have its own private game drives. The hotel is a 45-minute drive from the Seronera airstrip, which in turn is a 50-minute flight from Arusha, the nearest international airport, into which KLM currently flies on Tuesdays, Fridays and Saturdays. Airlines such as SWISS, Emirates, British Airways, South African Airways and Qatar fly into either Nairobi or Dar-es-Salaam, from where connecting flights to Arusha can be picked up. Bilila Lodge Kempinski is a destination in its own right, but can also be twinned with its sister property Zamani Zanzibar Kempinski for an idyllic two-centre holiday, combining the best safari and beach destinations.


  ...haya haya tena ndugu zanguni, mcheza kwao hutunzwa...Kampuni ya Kempinski wameshafungua 'kiota' kikali sana mbugani serengeti, asiye mwana aeleke jiwe, residents rates (watanzania) ni USD 280 (approx Ts 364,000/= kwa siku) kwa mtu mmoja, hiyo kujumuisha Malazi, kifungua kinywa na mlo mmoja i.e iwe ni mchana au usiku).

  Perfect location kwenda kujipumzisha na 'mamsapu', BTW hizi pesa tunazozihangaikia miaka nenda rudi tunaziacha hapa hapa duniani au sio? shime angalau once in life time kujikakamua 'kuzitumbua' hizo chapaa mbili ukiwa 'mtalii wa ndani'.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mshaurini invisible akarelax aliombaga ushauri kipindi fulani....ila mkuu ina maana ukiwa na shori ni 728000?
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...lakini hili la Kempinski kujifagilia the largest lodge wakati kumbukumbu zangu za mbuga ya Serengeti, Seronera Lodge, na Lobo Lodge zilikuwa na vyumba 75 kila moja ila ndio hivyo tena. Hizi hoteli za TAHI ni aibu tupu.

  ...kwenye Reviews za watalii yanasemwa haya;

  ...mnaona? halafu mheshimiwa sana aliipigia debe SERENGETI mpaka kwenye CNN wakati huduma zenyewe ndio hizi, ...wawekezaji kina Kempinski, na Serena wao wana package zao huko huko Kenya na ng'ambo.

  Watalii ndio maana wanakimbilia lodges za maasai mara.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...naaaaaam, 'chenji' kidogo tu hiyo uki compare na hadhi ya huyo mamsapu :D

  ila kama reviews zinavyojionyesha, kama unaona ubahili tembelea kiota cha bei chee ndani ya mbuga ya Serengeti, Lobo wildlife lodge au Seronera Lodge :(

  Shime wananchi, tuunyanyue uchumi wetu angalau kwa kutembelea mbuga zetu.
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Thanks mkuu kwa habari hii, naamini hiyo Kempiski itapata wateja.
  Inabidi mtu kama mimi ujibane kweli..sijui mwanamuziki gani atakuwa wa kwanza kuitoa kwenye wimbo wake.
  Sijawahi kufika serengeti na selous mbugani japo
  ngorongoro,mikumi,tarangire,manyara,ruaha na momela nilitembelea. Napenda adventure za mbugani.
  Hivi hiyo seronera ni tofauti na serena? serena naijua ya manyara.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  BJ, kampuni ya Kempinski ina mahoteli tena ya maana Europe, South America, Asia, na Africa. Kupata wageni ni lazima!

  ...ha ha, Kempinski hawahitaji 'cheap' publicity namna hiyo bana...

  ...nami pia BJ, hakuna raha kama kutembelea mbugani. Hawa jamaa wa (Serena) -Aga Khan Foundation wana maintain standards zao. Wana viota vyao kuanzia Manyara Serena, Ngorongoro Serena, Serengeti Serena, Mbuzi Mawe (karibu na fort Ikoma) na kingine kipya kimefunguliwa hivi karibuni...

  Mikumi Wildlife Lodge nadhani nayo inasua sua, mheshimiwa Rais aliwahi kwenda kula raha pale kipindi cha mwanzo mwanzo wa urais,...huenda ilipigwa soap -soap!

  ...Serena Lodges zinamilikiwa na mfuko wa Aga Khan, kama zile za Mombassa, Nairobi, Maasai Mara huko Kenya. Seronera, Lake Manyara Lodge, Ngorongoro Wildlife Lodge na Lobo Lodge zilikuwa Hotels za TTC, halafu zikachukuliwa na kampuni ACCOR ya ufaransa, serikali wakazirudisha mikononi mwa TAHI :D
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  kumbukumbu ya mahoteli ya TTC enzi hizo :)  Wildlife Lodges

  [​IMG] Seronera Wildlife Lodge


  [SIZE=+0]
  • In the middle of the Serengeti.
  • Built on a natural "kopje".
  • 75 rooms
  [/SIZE]

  [​IMG] [​IMG]Lobo Wildlife Lodge


  [SIZE=+0]
  • In the northern section of the Serengeti, near the Kenyan border.
  • Built on a natural "kopje".
  • 75 rooms
  • swimming pool
  [/SIZE]

  [​IMG] Ngorongoro Wildlife Lodge


  [SIZE=+0]
  • On the Ngorongoro Crater rim.
  • 78 rooms
  [/SIZE]

  [​IMG] Lake Manyara Lodge


  [SIZE=+0]
  • Overlooking Lake Manyara.
  • 100 rooms
  • swimming pool
  [/SIZE]
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Nimekusoma vizuri kuhusu Seronera na Serena...Unajua serena ya manyara ina view nzuri ya bonde la ufa(mto wa mbu) kwa ile miinuko na kona kona zake..

  @New Kempiski ya Serengeti, vipi wazawa wamepata kazi si ndiyo eeh! maana sijui itakuwa imeajiri watu wangapi..
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nilitaka sana kwenda kwenye hii mpya lakini muda sikupata

  lakini ile Zamani Zanzibar kiboko

  duh!

  I am sure 100 % Mengi asingeweza kuinvest pesa hizo

  acha anune
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bila shaka wamepata ajira, si unajua tena kutandika vitanda, uhudumu wa vyakula na vinywaji, utunzaji bustani, ni kazi zisizohitaji ujuzi saaana.

  Kimbembe kipo kwenye management. Naamini nafasi zote za juu (kwa sasa) zimeshikiliwa na 'wenyewe'...yote katika kuhakikisha Standards za Kempinski zinaimarishwa ili kwamba wageni wao toka kona mbali mbali duniani wasione tofauti.

  Si unajua tena wabantu bila kutishwa tishwa na wadhungu kazi zinadorora, mbaya zaidi ajira watapeana kina uncle na binamu, kama sio hongo ya ngono!

  ...Naam, si umeona mwenyewe mwaka wa nne huu Standards zipo juu kama walivyoanza. Kilimanjaro Kempinski na Zamani Kempinski wanashindana kwa ubora wa viwango,

  ...ukisikia nyota tano ni nyota tano kweli ikiwa pamoja na gharama za huduma!
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mkuu, nilisikia tetesi kuwa mkulu amenvest huko, je ndo hiyo kempiski?
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...thubutu yake!
   
 13. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  What makes you think kwamba asingeweza kuwekeza kiasi hicho cha pesa?
   
 14. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo laki 4 kasoro per night serikali yangu inaambulia ngapi? siyo kwamba zinaishia kupelekwa kunako visiwa vya ngambo? just thinking!

  Halafu mimi mwajiliwa wa serikli, mshahara wangu mwezi mzima ndo hiyo laki 3, sasa sijui mpaka niifikishe hiyo ya kulala huko usiku mmoja, mwezi mzima maisha yatakwendaje?

  Tutabaki kusimuliwa tu, kwamba nchini kwenu Tanzania kuna hiki na hiki, kwa mwendo huu wa mafisadi kukomba kila kitu na sisi watumishi waadilifu kuambulia mishahara ya namba za viatu kila mwisho wa mwezi!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...dah, basi hata ku recommend ka -semina elekezi kufanyikia huko haiwezekani mkuu? masjala nani hapo, akichangamka atapata 10% yake. BTW, mbona wengi tu wanajimwaya mwaya ndani ya Kilimanjaro Kempinski, japo bei ya chumba kwa siku (kwa mtu mmoja) wastani ni USD 255!
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mbu una hisa huko nini?
   
 17. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Yaani siku moja2 kujisikia sii mbaya!! After all nini maana ya maisha??

  Sii mbaya ukasave badala ya kunywa bia basi ukalala Kempiski hata kwa siku 2 kwa laki 8 sii mbaya!

  Life is short guys!
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ha ha ha, tutangaze huko ufini bro, wata enjoy sana game drive hasa ile migration ya nyumbu, nyati, punda milia, kila October na November...

  waambie tuna 'kiota' kingine cha nyota tano katikati ya mbuga ya Serengeti achilia mbali Serengeti Serena. Tena JK juzi kasema ada ya mtalii imeshuka toka USD 200 na 100 mpaka USD 50 tu!

  ...kabisaaaaaaaa,...kuna faida gani kuzaliwa Tanzania iwapo hujatembelea Mbuga ya Manyara kujionea simba wanaokwea miti, au korongo kuu (Ngorongoro) kujionea wanyama na vioto asilia, kisha kuelekea Serengeti kujionea Annual Migration ya 'prey and predatotrs',...

  unakuta mtu hata Zanzibar hajafika! anaona ni nchi mpya kabisa masikioni,...tembeleeni Bwagamoyo kujionea historia ya biashara ya watumwa, Tanga kwenye Mapango ya Amboni,...maisha yenyewe haya haya!

  Ipo siku nilikwenda kumuombea viza mtu ubalozini nikakuta kuna 'mtwana' mwenyewe kajikaaaza eti anaomba viza kwenda uingereza kuangalia njiwa Trafalgar Square :D...sehemu lukuki za kujiliwaza zipo Tanzania.
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kibunango, ushawahi kutalii Chumbe Island Coral Reef? ...kama hujawahi kwenda, likizo mpeleke mamsapu hapo japo kwa usiku mmoja aisee, raha tupu jioni 'kufungamana' na nature!

  [​IMG]

  ....ooooppppsss, nilisahau kuweka 'ma penny', kwa usiku mmoja inakugharimu pesa kidogo tu,
  USD 255 kwa mtu mmoja, ukienda na mamsapu jiandae na Credit Card ulipie USD 510 tu!​
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][​IMG][/FONT]

  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]haya ndio mambo mazuri ya ZAMANI KEMPINSKI huko Unguja (Zanzibar), mandhari nzuri utasema haupo Bongo kwenye kila aina ya ukata na utata... [/FONT]

  ngoja nizi -Quote bei zake kwa Euro, maana kwa pesa ya madafu mnaziona nyingi!

  ...shime shime tuitangaze nchi yetu, pia tutembelee mahoteli ndani ya nchi yetu!
   
Loading...