kelvn

kelvnjohn

Member
Dec 12, 2018
34
17
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar es salaam maritime institute(DMI) na nmesoma serikalini since naanza
 
Ulimalza mkuu
 
Huna shida mkuu. Andika kichwa cha habari kamili kulingana na jambo unalotaka kulifikisha huku kwa wasomaji. Jitambulishe vyema na kwa adabu maana bibi zako tuko humu pia. Jieleze kwa maneno machache na ya msingi. Kisha unaweza kuaga bila kusahau kuweka namba yamo ya simu na kwa urahisi zaidi wasiliana na uongozi wa Jf ili waweza kukuelezea namna bora ya kuwasilisha wazo/ ombi lako kwa wana jf wote.

Kila la kheri mjukuu
 
Iyo post yake ni ya 2018 mkuu
 
Back
Top Bottom