Kelvin Moto wa ATN awazulia jambo Dr. Slaa na Mbowe.

Teh teh teh auh hauwezi kukosea kutamka neno zaidi ya mara mbili tatizo ninaloliona mtangazaji hakujiandaa kabla ya kipindi . ATN wawawekee mazingira mazuri watangazaji wao kwani wanatakiwa wapumzike lau nusu saa ndio waingie kwenye kipindi hali inayomfanya atulie kiakili na kimwili hivyo kuwa makini na kile anachokifanya studio
 
Hii inanikumbusha kipindi kile Zitto alipougua bagamoyo. Zitto alielezea kwamba ugonjwa wake umetokana na food poisoning, waandishi wa Mwananchi wakatafsiri kuwa ameugua kutokana na kuwekewa sumu kwenye chakula. Huu ulikuwa upotoshaji mkubwa sana wa habari, hasa kipindi ambacho Zitto alikuwa akitofautiana kimtizamo na viongozi wengine ktk Chama. Bado kuna watu wanaamini Zitto aliwekewa sumu kwenye chakula (Redio Heri-mmoja wa wachangiaji wa Jukwaa la Wasio na Jukwaa).

Lingine ni wasomaji wa magazeti kushindwa kutamka jina la Assange-yule kiongozi wa WikiLeaks. Wengine walitamuka asenge, asange n.k. Sio ishu kushindwa kutamka jina la kigeni, maana mengine ni magumu sana, lakini kwakuwa habari yake (Assange) iliandikwa na kuzungumzwa kwa takribani miezi 4, na bado inaendelea kuzungumzwa, ungetarajia mwandishi bora wa habari ajue namna ya kulitamka jina na stori yenyewe kwa ufasaha, lakini wapi.. Hili nalo lilinisikitisha sana. Ni kama waandishi wa habari hawasikilizi habari za kimataifa au hata za hapa ndani. Ni kama vile wanadhani wanajua kwakuwa tu ni waandishi wa habari. Hii ni mbaya sana. Mwandishi wa habari lazima ujisomee, tena sana na usikilize na kuona habari kutoka vyombo vingine. Wajifunze kwa wakongwe kina Ulimwengu na hata vijana wenzao waliokomaa kama Geofrey Dilunga.
 
acha ubw ege wewe, hakuna cha kutawaliwa fikra hapa, hakuna excuse kwa hili!

Hili la huyu Mhehe wa Dabaga kukosea kutamka Kuyt kama wanavyotamka Wadachi? is this a big deal??

Unazidi kujionyesha jinsi ulivyo brainwashed, shame on you!!
 
Huyu jamaa hayuko makini hata kidogo,sio mara moja nimemsikia akisoma vitu vya tofauti,hata anaposema anachambua mpira inaonesha jinsi gani hasivyo makini mafano yeye kama mchambuzi tulitegema kusikia akichambua mfumo wa timu,mchezaji mmojamoja lakini utasikia akisema timu hii siipendi kwa sababu haina uhusiano mzuri na man u,hii naipenda na leo itashinda kwa sababu inauhusiano wa karibu na man u.
 
huyo kelvin namjua kimeo sana, ukitaka ucheke umsikie anataja majina wa wachezaji wa ulaya, DIRK KUYT inatamkwa 'dic kayt' ye utamsikia 'dic kuut' yaani vichekesho tu

Hamna kinachochekesha hapo wewe, acha u-jinga, jenga hoja. Jina hili ni la kiholanzi mtu kukosea kutamka sio issue ya kushupalia, jengea hoja maneno mengine aliyokosea ambayo ni common sio majina ya ki-lugha ya wazungu , hata wewe hapa ukipewa list ya majina matano tu ya raia wa finland, denmark, germany au norway uyatamke utachekesha uma. Acheni hizo, wakati TBC kuna bunch of ugly fools wanakosea matamshi mara nyingi tu na huomba radhi muda mwingine
 
Mkuu hadi unaweka post hii,mi nilikariri Libya kama ATN walivosema. Kumbe liberia,ok.
 
Cooome on you guys........

Ina maana nyinyi hamjawahi kukosea katika matamshi yenu? achilia mbali kuandika kwenu?

Je ni viongozi wangapi huwa wanakosea, na habari inatoka kwenye vyombo vya habari, wakigundua wanarekebisha kwa ukamilifu unaotakiwa?

Acheni kumsema mtoto wa watu kisa chuki zenu binafsi, yeye amekosea, na hakugundua amekosea, just as we all make a mistake ya matamshi bila kujijua kama tumekosea until we realise ndipo tunarekebisha.

Suala hapo ni wewe uliyeona kutuma kwenye zile simu zao wanazotoa pale chini ili warekebishe, if you won't tell him (ambaye hajatambua kama amekosea) hatokaa na kurekebisha alichokosea.

Tuache ushabiki kwamba, hajasoma (nyie mmesoma), sharobalo (nyie je?) etc etc, na tuwe watu wakuambiana ukweli ili kuweza kujijenga sote sio kufurahia mtu anapokosea. Hivyo tutaendelea kuwa wanafiki sisi na familia zetu na taifa letu lote kwa ujumla.

Binafsi, naona ni kosa la kibinadamu tu ambalo mtu yoyote anaweza kulifanya, na akalirekebisha atakapojua kama amekosea iwapo ataambiwa au atajua mwenyewe.
 
Na akajifunze kwa watangazaji wa kizanzibari kule BBC. Wao wanajuwa kutaja majina yote ya dunia kama inavyotakiwa. Sisi wazanzibari ndio kitovu cha ustaarabu duniani.
 
See guys what I have been saying, angalia mtiririko wa habari hii, mtu anashindwa kuelewa kuwa taarifa zilizokichwani mwa wengi ni Libya, kufanya kosa la kutamka kisichoandikwa ni kawaida.

Lingine ni je huyu mtangazaji gesture yake ilikuwaje? alifanya kwa makusudi kitu ambacho kitasomwa na wengine pia? YAANI ALIAMUA TU KWA MAKUSUDI KUSEMA LIBYA BADALA YA LIBERIA?? please please!!

Je ni kila siku anaisema Chadema vibaya kama Kibonde??

Huwa nasema, nimesema jana nimerudia tena na tena , na nitasema na TUTASEMA tu..kuwa CDM wengi akili zenu ni finyu na nyie mliotoa maada hapo juu kama post zenu hazina THINKING then mnakiharibu chama, nia afadhali muende vyama vingine kama CCM, CDM tuliyoifahamu haina mbumbumbu kama nyie kwa kujadili vitu bila kutumia akili

mbaya zaidi mnaliharibu jukwaa letu LA JF! haiwezekani upeo wenu mkansihwa kuwaza nje ya BOX

Mtaniona mbaya sana mwaka huu, na huyu ndiye real Waberoya..tumechoka kuingia JF na kukuta hamna point taken, ambayo mtu atashusha pumzi na kuona unagain kitu!!!!!

Ebu badilikeni for CDM sake please!!!

Mkishindwa nendeni kwenyewebsite yenu ya chama, HERE WE NEED INTELLECTUAL INPUTS
Waberoya

huwa nakuona uko obsessed sana na mambo ya Chadema, hiyo habari haihusiani na wanaCDM humu JF sikuona sababu ya wewe kuwaita wenye akili finyu bila hata member mmoja kuzungumzia kitu kama hicho. Wewe ndiye unayehitaji ku-think out of the CDM box vinginevyo tutakuona zezeta la CDM kwa kuhusisha chama hata sehemu isiyohusika, hizo intellectual inputs zako mbona huwa hatuzioni badala ya kuongelea issue iliyopo wewe unaongelea wanachama wa CDM, idiotism.
 
Mmejianika vibaya sana mpaka mnatia aibu, itafikia wakati mtu kusema chadema unaogopa, nimesema ukweli, umekuja juzi humu ndani na huwezi kufikia status ya post zangu! never, wala siwezi kukufikia kwa matusi ndiyo tofauti yetu. Ebu kubalini chalenji wenzako wanakubali na kukaa kimya! huwezi ukajibu utumbo tunaouona wa kutokutumia akili kwenye post zenu. Tulisema, tunalisema na tutalisema na watu wanaanmka kila kona kuliona hili, mwisho mtabaki hamna kitu na CDM yenye member wenye akili will prevail na siyo nyie mnaojiaibisha

wewe soma post za wenzako humu kwenye hii thread na angalia utumbo wanaopost, NI VIJEMBE, INFORMATION, KEJELI, MATUSI, KUTAKA FADHILA, na mtaishia hapo hapo! wewe nimeshakueleza mara nyingi mimi sio mzuri wa matusi ni mzuri wa kueleza ukweli. Jukwaa linakosa ladha tuliyoizoea ya kulea challenging post, sasa kwa mfano thread hii unajadili nini , mtu kukosea spelling, kusoma and then what...mjadala huu uana manufaa gani kwa taifa au CDM as a party?

Hauniwezi mkubwa, vijembe vyangu havijibiwa kirahisi hivyo! mwisho wa siku ukikaa kwenye keyborad yako unaona wanaume tuna mapoint.

kwa kukusaidia kwa sababu umekuja juzi, wakati mwingine nenda archieve uangalia jambo na jamii formus enzi hizo tulikuwa tunajadili maada gani sio huu upumbavu wenu wa sasa, ukiendelea kijibishana na mimi sitakusaidia kukuondoa huko uliko

we all need change, we all need CCM iondoke, but we can not tolerate this behaviour in the name of change!! never, walioshindwa kuwaambia wamejitenga wako pembeni MKUU HUU NDIO UKWELI utaja baki na wenzako wana JF-kata mjadili mtangazaji kasema LIBYA BADALA YA LIBERIA!!! what a shame, siko obsessed na Chadema hatuwezi kuona mnaharibu jukwaa tukae kimya eti tukisema mtatutukana after all we are all ghosts here thats why matusi hayaumi...kwa mfano nikisema you are idiot inauma kivipi wakati you are not existing as REAL MAN BUT AS DAWA YA MALARIA??

Unaona tunavyojibu hoja, haya weka yako sasa
 
Utumbo

kuwa na post nyingi kwako ndiyo status, post za uzushi na kuingiza viongozi wa CDM kwenye mambo ya uzushi ndiyo status, ndiyo maana post zako zinahamishwa mara kwa mara na MODS maana ni za umbea siku zote, mara Zitto ana kiwanda cha kokoto, mara Mbowe kafanya hiki huwawezi hayo ni magari makubwa, shame on you.

Yes uko obsessed na Chadema huwezi wewe kila post inayowekwa kwako inahusiana na CDM na kuwadharau wanaCDM JF utafikiri wewe ndiye mwenye busara zaidi, post hii inahusu mtangazaji kukosea spelling wewe kuanza kuwadharau wanaCDM JF kulitoka wapi. Acha dharau zako za kujifanya wewe unajua zaidi.
 
siko obsessed na Chadema
Angalia kwanini nasema hivyo

Mtu akisoma thread hizi atagundua wewe ni mtu wa aina gani. Kifupi ni mchonganishi na mbea.

Find all threads started by Waberoya
  1. PARADOX: Dr. Slaa - Money Maker (msaliti); Wapinzani bado hawako nchi hii.......
  2. Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar IIyas & then some Islams?
  3. CHALLENGE: Is mbowe Another Future Rostam Aziz or Edward Lowassa? Why not?
  4. Inflammatory: CHADEMA hawako kwa maslahi ya taifa, they are just another tool
  5. Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die
  6. Re: All we read here is Lowassa,Rostam,Zitto...then Zitto,Lowassa and Rostam again!
  7. IPSO FACTO: CHADEMA AND CUF MUST 'RESIGN'! So as you...if..! TUACHE UNAFIKI
  8. and more.......
 
mie cjui k2 mwenzenu,kwani anaandika mwenyewe au anasoma kilichoandikwa na wengine?
 
He needs to be careful with such prejudiced remarks.

End of last year a New Zealand TV host got into trouble for pronouncing the name of Delhi's Chief Minister, Sheila Dikshit, as "dick shit". The guy got a suspension and was made to go on-air for an apology.

It's not funny, is it?
 
See guys what I have been saying, angalia mtiririko wa habari hii, mtu anashindwa kuelewa kuwa taarifa zilizokichwani mwa wengi ni Libya, kufanya kosa la kutamka kisichoandikwa ni kawaida.

Lingine ni je huyu mtangazaji gesture yake ilikuwaje? alifanya kwa makusudi kitu ambacho kitasomwa na wengine pia? YAANI ALIAMUA TU KWA MAKUSUDI KUSEMA LIBYA BADALA YA LIBERIA?? please please!!

Je ni kila siku anaisema Chadema vibaya kama Kibonde??

Huwa nasema, nimesema jana nimerudia tena na tena , na nitasema na TUTASEMA tu..kuwa CDM wengi akili zenu ni finyu na nyie mliotoa maada hapo juu kama post zenu hazina THINKING then mnakiharibu chama, nia afadhali muende vyama vingine kama CCM, CDM tuliyoifahamu haina mbumbumbu kama nyie kwa kujadili vitu bila kutumia akili

mbaya zaidi mnaliharibu jukwaa letu LA JF! haiwezekani upeo wenu mkansihwa kuwaza nje ya BOX

Mtaniona mbaya sana mwaka huu, na huyu ndiye real Waberoya..tumechoka kuingia JF na kukuta hamna point taken, ambayo mtu atashusha pumzi na kuona unagain kitu!!!!!

Ebu badilikeni for CDM sake please!!!

Mkishindwa nendeni kwenyewebsite yenu ya chama, HERE WE NEED INTELLECTUAL INPUTS

Waberoya au Mberoya???
kama ni Waberoya mpo wangapi? inawezakana ID hii inatumiwa na waberoya kibao maana wewe kila siku ni kupoda, kejeli, matusi hivi kwa nini hauna uungwana?
 
Back
Top Bottom