Kelvin Moto wa ATN awazulia jambo Dr. Slaa na Mbowe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kelvin Moto wa ATN awazulia jambo Dr. Slaa na Mbowe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Mar 12, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mtangazaji wa ATN kelvini moto amewazulia jambo katibu mkuu wa chadema dr. Slaa na mwenyekiti wake freeman mbowe kwa kudai kwamba wameenda libya kuhudhuria mkutano wa vyama vya demokrasia. Moto ameyasema hayo wakati akisoma uchambuzi wa magazeti katika television ya ATN leo asubuhi. Licha ya gazeti la nipashe kuandika kwa maandishi makubwa kwamba slaa, mbowe waenda liberia mtangazaji huyo wa ATN kwa kukosa umakini alisema wameenda libya na hata alipoisoma kwa kina alirudia kusema wameenda libya kuhudhuria mkutano wa vyama vya demokrasia. Mbali na kosa hilo kelvin motto aliendelea kukosea kutamka majina mbalimbali kama dr. Kingwalala badala ya dr kigwangala na mkanyanga badala ya mkajanga. Namshauri kelvin motto yeye kama mwandishi wa habari awe makini katika kazi zake vinginevyo atapotosha umma.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  wale huwa wababaishaji...huyu dogo bonge la sharobaro flani hivi hana lolote........
   
 3. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Anatakiwa kurudi shule kujifunza kusoma na kuandika, huo ndo ushauri wa bure kwa huyo ndg na mhariri wa hicho chombo anatakiwa kuliweka hilo ktk staff development plan ya huyo mtangazaji wake. La sivyo watu wataanza kupuuza yanayotamkwa ndani ya hicho kituo.
   
 4. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyo sio mtangazaji ni muumini wa lile kanisa la mhindi, af nafikiri kutamka Libya labda kwa sababu Libya kwa sasa imekaa midomoni mwa watu na ukiangalia zinaelekeana na Liberia. Jamaa sio fani yake
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Anamani kuwa mtangazaji wa TBC huyo
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  upuuzi mtupu
   
 7. b

  boybsema Senior Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  unajua watu waliochakachua certificates zao wanajiumbua hadharani!!!angekuwa mtangazaji asingefanya mambo kama hayo....libya na liberia wapi na wapi???? au katumwa na sisiem kusoma vile nini???
   
 8. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mi nilihisi kazusha ishu fulani kama heading yako inavyosema kumbe ni error katika matamshi!! jamani eleweni ulimi hauna mfupa so isiwe ishu ya kukuzwa sana,anyway huyo mtangazaji nae hana budi kujirekebisha na kuwa makini na kazi yake ili kuepuka kupotosha jamii na kusababisha mkanganyiko kama huu.
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyo kelvin namjua kimeo sana, ukitaka ucheke umsikie anataja majina wa wachezaji wa ulaya, DIRK KUYT inatamkwa 'dic kayt' ye utamsikia 'dic kuut' yaani vichekesho tu
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  haaaahaaaaaaaaa mkuu umenivunja mbavu
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  See guys what I have been saying, angalia mtiririko wa habari hii, mtu anashindwa kuelewa kuwa taarifa zilizokichwani mwa wengi ni Libya, kufanya kosa la kutamka kisichoandikwa ni kawaida.

  Lingine ni je huyu mtangazaji gesture yake ilikuwaje? alifanya kwa makusudi kitu ambacho kitasomwa na wengine pia? YAANI ALIAMUA TU KWA MAKUSUDI KUSEMA LIBYA BADALA YA LIBERIA?? please please!!

  Je ni kila siku anaisema Chadema vibaya kama Kibonde??

  Huwa nasema, nimesema jana nimerudia tena na tena , na nitasema na TUTASEMA tu..kuwa CDM wengi akili zenu ni finyu na nyie mliotoa maada hapo juu kama post zenu hazina THINKING then mnakiharibu chama, nia afadhali muende vyama vingine kama CCM, CDM tuliyoifahamu haina mbumbumbu kama nyie kwa kujadili vitu bila kutumia akili

  mbaya zaidi mnaliharibu jukwaa letu LA JF! haiwezekani upeo wenu mkansihwa kuwaza nje ya BOX

  Mtaniona mbaya sana mwaka huu, na huyu ndiye real Waberoya..tumechoka kuingia JF na kukuta hamna point taken, ambayo mtu atashusha pumzi na kuona unagain kitu!!!!!

  Ebu badilikeni for CDM sake please!!!

  Mkishindwa nendeni kwenyewebsite yenu ya chama, HERE WE NEED INTELLECTUAL INPUTS
   
 12. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Huyu dogo ni kimeo, anauza sura tu pale ni aibu kwake na kwa bosi wake. Upeo wake finyu wa kujifunza na kuelewa mambo unaonekana bayana. Hiyo ndo aina ya watangazaji tulonao leo. Aibu sana kwa fani na taifa letu.
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Oneni wenyewe! kwa nini watu wasikimbie??
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  wote walikuwa kwetu; wengi wakajawa na njaa na tamaa za kugeuza yao kuwa miradi ya biashara. kwetu kukabaki imara na wala hatutayumba na kila leo wanazaliwa wapya na wanatahiriwa kwetu na hata wangu niliyemzaa ametahiriwa kwetu.

  waende tu. wakimbie. we dont care.

  united we stand!!!
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Makanjanja wapo wengi.
   
 16. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sasa kinachokuchekesha nini hapo? unadhani itakuwa rahisi kwa Mdachi kulitamka kwa usahihi jina la Mfalamagoha? sasa kwanini iwe ajabu kwa Mhehe kulitamka isivyo jina la Kidachi? mmetawaliwa mpaka fikra!!
   
 17. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  twende ccm! dhubutu!
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  acha kutupotosha, kwenye issue serious hakuna cha ulimi hauna mfupa, imagine amedanganya watu wangapi, muda wa kufanya makosa ni wakati alipokuwa shule (kama alienda), ulimi hauna mfupa kwa kurudia makosa mara zote hizo acha kuwa cheap kiasi hicho, namshauri atafute kazi nyingine hiyo awaachie ambao ndimi zao zina mifupa ya kutosha.
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Sophia simba! Laiti ungekuwa unamsikiliza usingesema ni bahati mbaya kwani ni kila siku hata neno robo fainal yeye atasoma lobo fainal . Ni lazima tuseme ili ajirekebishe .na hilo la CDM Limetoka wapi tena mbona unaogopa kivuli chako mwenyewe unakuwa tena ka wakina wassira,chiligati na jk kila kitu chadema
   
 20. U

  Uswe JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  acha ubw ege wewe, hakuna cha kutawaliwa fikra hapa, mtangazaji lazima uwe na uwezo wa kutamka maneno vizuri, wapo watangazi wanafanya vizuri, hiyo ni kazi yake kujua majina na maneno yanavyotamkwa kwa usahihi. . .hakuna excuse kwa hili!
   
Loading...