Kelele za wizi wa mali za umma zimezidi sasa, ni wizi wizi wizi kila mahala

BE0CA315-A316-4ADD-9DB4-2C176DEE7C77.jpeg
 
Zinakuuma mini si uajiriqe serikalini na ww uende semina

ni kweli inaniuma saana saana, maana mnakula kodi za wananchi huku hakuna input yoyote zaidi ya wizi na kutia nchi hasara kila kukicha, unajitamba kabisa wakati kila siku nchi yako inaomba misaada, huko mahospitalini ndugu zako hawana dawa, huko mahospitalini ndugu zako wanakaa chini huku wenzio tunakamuliwa kodi mtaani huku kila kukicha.....unasimama kabisa kujisifu kutumia hovyo hovyo hela za wananchi...
 
Msoga gang wanaupiga mwingi,wakipata upenyo hawafanyi makosa.
Kumbuka ESCROW, RICHMOND,bila kusahau vihela vya mboga.
 
Back
Top Bottom