KEKI Ya Valentine- Special Offer Kwa JF Members Only,40,000/= Mpaka Sherii Alipo

ha ha ha ha ha!we mtoto mjanja sana..unajua marashi ndio ugonjwa wangu sasa hapo umenimaliza kabisaaa.ok ngoja wkend nizame jd pharmacy nikamchekie iyo D&G.. Na mimi nakupendekezea Britney fantacy ijaribu kama bado imesimama..

Kuhusu maua sina swali,umemaliza kila kitu.

Britney Fantacy nimeitumia kuna hii inaitwa Taylor of london..
ni bora zaidi kuliko hiyo ya Britney... harufu yake iko kwenye range hiyo hiyo...

yeah hiyo ya D&C ataipenda sana... good choice ...:poa
 
aaah lizzy nipendekezee na mimi ya kiume basi unayoizimia.

kwa wanaume napenda hizi ..

diesel , Drakkar Noir, armani code, boss....

you will never go wrong with Armani code & Diesel..

David backem yaaaaaak .. usinunue teh teh tehteh lol..

tatizo la perfume kila mtu ana test yake tho... lol
 
Britney Fantacy nimeitumia kuna hii inaitwa Taylor of london..
ni bora zaidi kuliko hiyo ya Britney... harufu yake iko kwenye range hiyo hiyo...

yeah hiyo ya D&C ataipenda sana... good choice ...:poa

Pamoja sana AfroD.
 
kwa wanaume napenda hizi ..

diesel , Drakkar Noir, armani code, boss....

you will never go wrong with Armani code & Diesel..

David backem yaaaaaak .. usinunue teh teh tehteh lol..

tatizo la perfume kila mtu ana test yake tho... lol

Drakkar Noir na Boss (haswa Hugo B kasteel) nimetumia ila nitaijaribu armani code nakuaminia itakuwa nzuri tu...mtafutie mista kitu cha aqua herrera ya carolina herrera imetulia ila inatuma ujumbe sio mchezo,ataipenda..thanks again!
 
kwenye perfume sina shida,, chukua tu..
kwenye viatu tutavuana maagauni hahahaha lol
Hahahahaha mi perfume ndo sipendi bana. . .kuna watu wengine wakiingia bafuni kwako tu wanajipulizia kama vile hawapangi kuoga milele!!Lolz. . ukija kushtukia inaelekea kuisha wakati mwenyewe hujatumia zaidi ya mara 20.

Viatu mi ntakuachia. . . ushindwe mwenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom