Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
mchawi baking powdwer tu apo, ongeza kipimo kidogo, then utaniambiaKila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
na ajitahidi kuukoroga unga vizuri mpaka uwe smooth yan sukar siagi bakin powder na mayai na mahitaj mengine yamejichanganya vizuri kabisamchawi baking powdwer tu apo, ongeza kipimo kidogo, then utaniambia