Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza idadi ya mayai,saingine unakuta humix vzur hasa kama unamix na mkonoKila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app