Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
sku hizi mapenzi yamebaki kwenye maigizo, mziki na sredi za JF tu, kuna micouple kila wiki inakwenda hanemuni, mauwa kibao, maswiming puli na masham sham ya kumwaga. kumbe wizi mtupu! haya ni maoni yangu tu . heshima ya sredi inabaki pale pale
My dear fellow tablet: Hivi ni mwenzetu gani anayetibu magonjwa ya mapenzi? Mi nakabili maumivu tu, hasa yanayotokea martenity ward.