Keep it up Dr Kitima

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
Namfagilia sana jamaa kwsbb haintertain mambo ya siasa na elimu ndo maana hadi leo SAUT pako shwari kwasbb kila kitu kinaamuliwa kitaalam na si kisiasa.Poleni sn ndugu zetu udsm,tuko pamoja sana.
 
Sa saut hata wakigoma,who cares??ila ckia mziki wa ud au Sua,lazima serikali itetemeke.over
 
Sikipendi saut kwa kuwa huyo kitima mwenyewe ni mnafki japo ni priest..there is alot of injustices pale yet wanafunzi hawaruhusiwi kuspeak out,mfano faini ya kuchelewa kulipa fees ni laki moja,is that logical?
Yet,huyo kitima ndio kila siku ananukuliwa akisema kanisa linatoa elimu kwa gharama nafuu ili asishindwe mtu kusoma kwa kukosa fees..

Pale kosa dogo sana utaona kesho yake notice wakosaji wamefukuzwa chuo au kuwa suspended na minimum suspension ni mwaka mmoja.

Waulize wanafunzi wa pale watakwambia the office of the students government ni extension ya office ya dean of students na hivyo maamuzi yote ni pro university not students.

Saut wamerestrict hadi mavazi..binti huvai suruali wala nguo yoyote ambayo wao wanadai ni mbaya..sandals wanaume marufuku,matshirt na jeans pia mwiko..

Hili la penalty ya laki moja hadi leo watu wanashindwa kugoma kwa sababu ya chuo kuendeshwa utadhani ni dola ya rumi..

Saut unaweza kuwa umefanya mitihani fresh na bado ukaja kuchkua transcript ukakuta una sapu mia na incomplete nyingi wakati ulifanya na kufaulu..na hapa utahangaika na usigraduate kwa uzembe wa chuo yet ugome uone kama utasoma tena wewe!

Kifupi Saut sasa ndio walitakiwa wagome sema kuna supreession kubwa ya haki za binadamu
 
Back
Top Bottom