KE Vision 2030 vs TZ Vision 2025

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
Ruwaza ya Kenya 2030 is the country's development programme launched on 10 June 2008 by President Mwai Kibaki. Its objective is to help transform Kenya into a "newly industrializing, middle-income country providing a high quality of life to all its citizens by 2030 in a clean and secure environment."

The Tanzania development Vision 2025 was launched in 1999 by President Benjamin Mkapa. The Tanzania development Vision 2025 seeks to realize patriotism, nationalism and to strengthen national cohesion of all the people in society, taking into consideration current environment in the economic, political and other relevant factors.
Screenshot_20220216-065510.jpg

Screenshot_20220216-065625.jpg
 
Ilikuwa baraka kubwa sana kwa nchi ya Kenya kumpata rais kama Emillio Mwai Kibaki, baada ya utawala wa kiimla wa dikteta Arap Moi kwa miaka 24. Bure tungekuwa bado tumepotea njia hadi muda huu. Kama kijiti kingepokezwa kwa kiongozi asiyejielewa au yule ambaye angeamua kufata nyayo za 'Nyayo'. Aliilekeza Kenya mpya kwenye mkondo ambao umetufaidi sana.

Akahakikisha kwamba amefanikisha shughuli yote ya kupata katiba mpya, mihimili nayo akaiimarisha. Taasisi mpya na huru za kiserikali nazo akazibuni, kisheria, chini ya muongozo wa katiba hiyo mpya. Zaidi ya yote, kwa ushirikiano na viongozi kama RAO na wengine, ambao hata hawakuwa wanaelewana kisiasa, akatuacha na ruwaza hii ya Kenya Vision 2030.

Leo hii wote wanaogombea kiti cha urais na nafasi zingine. Hata wale ambao wanaonekana kwamba hawana hope kabisa ya kutimiza ndoto zao, wanazungumzia sera ambazo zipo 'based' kwenye ruwaza hiyo. Rais wa sasa Uhuru Kenyatta, licha ya mapungufu yake kadhaa, amefanikisha kutimiza mengi yaliyotajwa kwenye Vision 2030. Tena kabla ya muda na deadline zilizonuiwa kwenye ruwaza hiyo.

Kenya vision 2030 imetupaisha hadi kimataifa pia. Baada ya kutimiza malengo mengi, ambayo yaliafikiwa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa. Tulipoingia kwenye milenia mpya mwaka wa 2000. Malengo ya kimaendeleo ambayo yalijumuishwa moja kwa moja kwenye ruwaza hiyo. Almaarufu kama MDGs(Millenium Development Goals).

Leo hii Kenya ina sifa kimataifa, kama nchi ambayo inatekeleza ahadi zake na imezipiku hadi nchi ambazo huwa zinajiita '1st world'. Kwa mfano ikifika kwenye masuala ya mazingira na nishati mbadala. Kenya ni kati ya nchi zinazo ongoza barani Afrika na inatajwa kwenye orodha ya nchi 'top ten' duniani.

Ungetutajia matatizo ya msingi yanayasumbua wakenya ambayo yalitatuliwa na hao Marais wenu mliowataja baada ya kutumia hiyo ruwaza.

Kwa ninavyofahamu Mimi, matatizo ya msingi yanayowasumbua wakenya sio kutokuwepo kwa "clean Energy", matatizo ya msingi Kenya kabla na baada ya kupata uhuru ni:
1)Rushwa
2)Ukabila
3)Umiliki wa ardhi
4)Usalama/crime rate
5)Njaa na ukame
6)Ukosefu wa ajira
7)Makazi duni/slums

Tuambie Kati ya hayo, ni kipi kilichopatiwa ufumbunzi kutokana na kupata Katiba mpya?
 
we know you're an idiot on wheels so I'll dumb it down for ya......

the purpose of the plan is progress not perfection.
 
Tell us progressions archived on those areas I mentioned above, not on what you archived even if they are not important for the people
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom