KDF in Mozambique

umeyaanza wewe...naona tayari yameshakushinda .
jichunge lkn kila unapokuwa ktika mizunguko yako..
manake waeza tekwa mda wowote ule...wasiojulikani wakiamua kukuta hakuna atakayepinga wala kujua wamekupeleka wapi...

so take care
Lini tena mnapanga terrorist attacks?. Ukweli ni kwamba, hizo attacks ni Government sponsored ili kumaliza baadhi ya makabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom