KCB (T) LTD kuna tatizo kubwa yageuka na kuwa ya kiswahili kirefu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KCB (T) LTD kuna tatizo kubwa yageuka na kuwa ya kiswahili kirefu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, May 24, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Kwakweli inaboa sana yani kila ukifika wanakwambia mtandao upo chini waweza kuchukua hata dk 30 kwa shughuli ya 5dk! Balaa zaidi limeanza jana ya hakuna kuchukua pesa kwenye bank teller labda uwe na ATM, ishu ipo kwa wenye a/c za kampuni yani tunaambiwa hapa nikuweka pesa tu sio kuchukua!!
  Hebu wataalamu wa sheria mtusaidie hii inakaaje? Nani ataliziba pengo la hasara iliyo kwa sasa?
   
 2. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Taabu ya Bank zetu hapa nchini nadhani hii mitambo yao wanayotumia WALIGAWIWA BURE KUPUNGUZA UCHAFU ktk nchi zilizoeendelea! MTandao unakuwa DOWN siku 2; pesa wanapokea..KWanini wasitoe pia??? Mbona zamani walikuwa wanatumia makaratasi (manual) na huduma zilikuwa zinapatikana??? Africa ya Mashariki sisi ndiyo tumefunga kompyuta KUPUNGUZA UFANISI!!!!!

  Taabu siyo kwa KCB tuu; mie ni mteja wa CRDB.....Kuna wakati unatamani kulia..Utadhani hela siyo zako umeenda kukopa!!!!! BoT ambao naamini ndiyo regulators wa shughuli za mabenko hapa nchini inabidi waingilie kati na kuweka utaratibu utakaotulinda wateja!!! Vinginevyo waweza kufa kwa njaa na hela yako iko Bank!!!Kisa MTANDAO
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tunaiita benki ya kijani watu walipiga saaana kwenye atm zao mbovu tehe. unaenda ndani kwa teller unachukua pesa kilo nne ukitoka nje kwenye atm zao ukiweka kadi unakuta balance yako iko vile vile unavuta tena no record hapa bongo mpaka eti nairobi kcbbbbbbbbbbbb bana
   
 4. b

  beatus11 Senior Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  sasa fanya unachukua pesa toka western union kupitia kcb uone adha yake. Kijani rangi tu ni benki ya kizembe hakuna mfano!
   
Loading...