KCB sasa ina asset value ya ksh 1 trillion. ($10 billion)

Iyo Ni revenue ya bongo ya mwaka 1 sio uchumi wetu unakosea ,uchumi wetu ni ×7 ya Huo
Umeimprove sana kwenye mambo ya uchumi. Nimekuwa nikiona kwamba upo makini sana kwenye numbers za kiuchumi.
 
Hii ina maana gani kwa wakenya 48% ambao ni unemployed, 50% below poverty line, 2M wanaokabiliwa na njaa, 3M wanaoishi slums, na wale wanaouliwa au kujeruhiwa na polisi bila hatia yoyote?
Maana ni hii hapa
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Kuna siku nilikuambia kuwa private companies za Kenya ni Kubwa ukapinga sana.
Halafu mbona kwenye debate kama hizi za Kampuni kubwa za Kenya kama KCB au Safaricom kamwe huwezi kuwapata Geza Ulole na The best 007 wakichangia?
Hizi debate hazina maana ndio sababu hawawezi kuchangia, sisi tunataka kulinganisha iwajibikaji wa serikali za hizi nchi mbili kwa wananchi wao, mambo ya private hayatoi picha ya maendeleo ya watu wa nchi husika
 
Hizi private companies zimeandika kazi thousands of Kenyans na zinawalipa vizuri.
 
Kwa hela za wateja labda
Pia mabenki kukopesha serikali ni biashara yao wala si jambo la ajabu.

Treasury bills na bonds hununuliwa kwa wingi na mifuko ya hifadhi na mabenki. Sio hoja benki ku finance budgate za serikali.

Pia kumbukua, asilimia kubwa ya fedha za benki ni deposit za wanachama. Na ndio wanazozungushia biashara.
 
Pia mabenki kukopesha serikali ni biashara yao wala si jambo la ajabu.

Treasury bills na bonds hununuliwa kwa wingi na mifuko ya hifadhi na mabenki. Sio hoja benki ku finance budgate za serikali.

Pia kumbukua, asilimia kubwa ya fedha za benki ni deposit za wanachama. Na ndio wanazozungushia biashara
Do you really know what assets are?
 
Back
Top Bottom