KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments

07.JPG

05.JPGjj.JPG

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.

Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!
 
Nani aliyegharamia hii maneno?
Ni pesa za nani...who says ni za watu wa Kericho, akina Kipchoge, nani?

Waste of :
-TIME
-MONEY
-FLOOR DEPRECIATION
-TABIA HATARISHI ZA 'NYEVUANYEVUA'!

and many of thelike!

If you guys have money to dump, go and dump it in the orphanage!

Kuch..kuch!
 
Nani aliyegharamia hii maneno?
Waste of :
-TIME
-MONEY
-FLOOR DEPRECIATION
-TABIA HATARISHI ZA 'NYEVUANYEVUA'!
and

JP umeona picha ya juu kabisa mdau mwenye shati nyeupe nini anafanya? Na mshangao wa mama aliyevaa viatu vyekundu vya red?
 
Kulikuwa hamna Tusker Bariiidi? Mbona naona maji ya Kilimanjaro tu!

ANYWAYZ kulikuwa na Mr & Mrs au walikuwa KIKAZI ZAIDI?
 
Nani aliyegharamia hii maneno?
Ni pesa za nani!

Waste of :
-TIME
-MONEY
-FLOOR DEPRECIATION
-TABIA HATARISHI ZA 'NYEVUANYEVUA'!

and many of thelike!

If you guys have money to dump, go and dump it in the orphanage!

Kuch..kuch!

Walikuwa wanamuaga Heri Bomani kwa raha zao.
 
nyambaaaf. Mwalimu angekuwepo angewacharaza woooote viboko sita vya nguvu.
 
JP umeona picha ya juu kabisa mdau mwenye shati nyeupe nini anafanya? Na mshangao wa mama aliyevaa viatu vyekundu vya red?
Mi nakwambia hawa wanahatarisha sana mwelekeo wa tabia ndani ya jamii!
Actually thats total destruction!
 
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments

05.JPGjj.JPG

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.

Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!

Huyu dada anaonekana mzuri shida ana kikwapa! sijui zile sehemu zingine
 
Bana wewe unweza ukakuta yumo JF humu, asije kujisikia kizunguzungu bana! Ni matokeo ya shuguli nzito. Hapo hakuna walioenda pair? Mbona wanamwaga radhi kiasi hicho. Kaka Heri kapata kiota kingine au kaona kazi hailipi
 
mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
niko tayari kupokea kila picha mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.
 
Maumiiivu tele moyoniiiiiii!!
 
mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
niko tayari kupokea kila picha mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.

Angalia mdau isije ikawa Wivu sina ila roho inaumaa...
 
Back
Top Bottom