KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

Shem usiniambie ulimlaza Nkwingwa kwenye kochi....

siwezi kumfanyia hivo shem
kosa lenyewe halikuwa lake moja kwa moja.....niliwahi kumuokoa majaribuni
we are back to love..............
 
Balantanda,
Huyo anaitwa Fidela. Nasikia alikuwa anatafuta MUME. Fidela ni mtoto wa Kisukuma yule Nkwingwa na kama hujaowa, basi utakuwa nyumbani.

Hata kama umeowa, sisi ngosha mke mmoja wapi na wapi?

Julius, mcheki Nsia kwenye Hi5 kama wewe ni member.
Daah hv huyu mtoto yuko api fidelia
 
Back
Top Bottom