KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

Julius, huyu mtu si anaishi Dar? Pana wakati kaka yake alijitangaza kuwa ana dada mzuri. Nafikiri ukitumia utoto wa MUJINI basi utampata kiurahisi. Au mwaga zawadi ya vidola kadhaa na washikaji watamsaka haraka sana.

Ngoja nimtafute YoYo maana naju maefulia sasa hivi. Nikimtupia vidola viwili vitatu lazima atanipatia contacts zake. Ila uoongo mbaya jameni...mimi huyu demu nimemzimia kiainaa. Sijui ni nini lakini kila nionapo picha yake moyo wangu hubadilika hali kabisa.
 
Haya, wengi wamesikitika hii picha ya NSIA SWAI, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
 
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments

07.JPG

Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!

Wakuu sijui kama macho yangu yanaona vizuri au ni imagination tu . . . huyo dada aliyevaa black na Kikukuk mguu wa kushoto na kiatu cha soli mchongo anayecheza Mbuzi Kagoma kama mdau moja alivyoita . . . assuming nguo yake ni Transparent . . . Ile inayoonekana kwa mbali ya maua maua ni underwear ama nakosea?
 
Oh yeah...kavaa ya vidoti doti....
 
Haya, wengi wamesikitika hii picha ya NSIA SWAI, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
Nakumbuka Nsia alikuiwa na mwenzake naye mkubwamkubwa hivi kwa nyuma..Kama unayo picha yake nisaidie kwa PM Nkwingwa
 
Hapana hiyo ni reflection kutoka kwenye shati la jamaa aliyesimama karibu yake.

Mdada kama yule havai chupi ya Polka dot.

Lakini shati la jamaa lina mistari, sio vidoti. Halafu Sikonge kwani huoni hizo panty lines? Hiyo chupi bana
 
baada ya picha what next???

nieleweshe mpaka hapo bado sijakuelewa.....

Mhhhhh,leo kazi ipo...Ni picha jamani nimesimuliwa na shemeji yako Julius kuhusu hao watu so nataka nijonee mwenyewe tu na wala si lingine dear
 
Mhhhhh,leo kazi ipo...Ni picha jamani nimesimuliwa na shemeji yako Julius kuhusu hao watu so nataka nijonee mwenyewe tu na wala si lingine dear

Heheheheee...Nkwingwa naona unajitetea lol....

Shem usiwe na shaka....nilimsimuliaga mimi kuhusu hao walimbwende....hana nia ingine zaidi ya kuwatia machoni tu
 
Heheheheee...Nkwingwa naona unajitetea lol....

Shem usiwe na shaka....nilimsimuliaga mimi kuhusu hao walimbwende....hana nia ingine zaidi ya kuwatia machoni tu

nilitegemea utetezi huu toka kwako.....shem ngoja nikatulize moyo wangu someplace else!!!!
 
Back
Top Bottom