Kazuyoshi Miura: Ndio mchezaji wa mpira wa miguu mzee zaidi

Dec 4, 2018
11
10
HUYU NDIO MKONGWE SASA""" .
.
umri wake ni miaka 53 na bado Ni mchezaji wa Kulipwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Anaekipiga kunako klabu ya Yokohama FC ya Japan Kazuyoshi Miura amekuwa akicheza kupitia miongo mitano tofauti.
IMG_20200504_141625_972.jpg
 
Back
Top Bottom