Kazini kwako hakuna sehemu ya karibu ya kupata lunch? Pata bufee hadi ofisini kwako

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee
lenye wali, ndizi, supaget, kuku, ng'ombe, mboga majani, maharage, na kipande cha tunda hayo yote ni kwa sh. 4000/- tuu hadi kwa ofisi yako. Mnakaribishwa saaana
 
mkuu hii si buffet tena ni "a la carte" kwani umeshatoa choice na kupakua kabisa
 
Na mimi wa Sumbawanga nitapata huduma hiyo nikiihitaji?
mkuu samahani kwakutojieleza vizuri huduma hii inapatikana hapa dar kama kazini kwako ni posta basi huduma itakufata hadi ofisini
 
Heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee
lenye wali, ndizi, supaget, kuku, ng'ombe, mboga majani, maharage, na kipande cha tunda hayo yote ni kwa sh. 4000/- tuu hadi kwa ofisi yako. Mnakaribishwa saaana

Hii poa, attach picha ya menu ya mamsosis pamoja na contact zako na tengeneza blog la mapicha ya masosis yako utuwekee huku ili kututamanisha hayo mamsosi!
 
Hii poa, attach picha ya menu ya mamsosis pamoja na contact zako na tengeneza blog la mapicha ya masosis yako utuwekee huku ili kututamanisha hayo mamsosi!
menu ni buffet na bei mbona nishaweka mkuu, kwa maelezo zaidi ni pm nikuunganishe
 
Maendeleo ndani ya miaka 50 ya uhuru -- hii inaitwa mobile bufee... safi sana kwa ubunifu.
 
Maendeleo ndani ya miaka 50 ya uhuru -- hii inaitwa mobile bufee... safi sana kwa ubunifu.
Hapa hamna ubunifu wowote. Hii biashara ipo miaka mingi sana. Alichofanya ni kujitangaza hapa JF.
Inabidi alipie bandiko lake!
 
Hapa hamna ubunifu wowote. Hii biashara ipo miaka mingi sana. Alichofanya ni kujitangaza hapa JF.
Inabidi alipie bandiko lake!
sometimes Avater Image reflects the personality.Alipie Tangazo wakati ndo anaanza :(
 
heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee
lenye wali, ndizi, supaget, kuku, ng'ombe, mboga majani, maharage, na kipande cha tunda hayo yote ni kwa sh. 4000/- tuu hadi kwa ofisi yako. Mnakaribishwa saaana
jipange upya urudi tena humu..!!!
 
kwanini usilete masaki badala ya posta siye tunahitaji njoo huku achana na watu wasio na michango watakukatisha tamaa bureeee
ni pm nikupe contact uje
 
jipange upya urudi tena humu..!!!

Nadhani ni ungwana kama umeona mapungufu aidha content au huduma aliyoizungumzia ungemsaidia kwa kumshauri badala ya kumkatisha tamaa that way, Naamini JF ni mahala sahihi kwa ushauri na si kwa kukatishana tamaa.
 
Wazo zuri. na mimi natamani ningeweza kupata huduma kama hiyo. Ofisini kwetu wanaleta lakini ni mkate tu yenye vinyama na cheese. I wish ningeweza kupata huduma yako. Keep it up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom