Com nyakipambo
Member
- Apr 30, 2013
- 68
- 3
anatafutwa store keeper anaeishi Kibaha aliyesoma masuala ya store keeper, kama uko tayar funguka
Kuna mdogo wangu, Ila anakaa mbezi ya kimara, kama inafaa tuongee private mkuu 0712162678
Ngoja niwaulize kama wanaweza pokea hata wa jiran ingawa wamesisitiza ni Kibaha tu, then ntakujuzen,
0759720291 naomba 2wasiliane sifa nnazo.
Mm nipo kibaha nina Ba chela ya utawala
Nitafute kwa mawasiliano zaidi nimesoma maswala ya warehouse management na npo mbezi, na kama kazi inamtaka mtu awe karibu na warehouse npo tayari muda wowote kuhamia kibaha. Mawasiliano yang 0759720291upo Kibaha? Na umesomea store keeper? If yes nijib n Ajira ya Serikalin na ya kudumu