Kazi zimekua ngumu sana

bugha

Member
May 22, 2017
25
25
Habari wakuu?
Ni kijana wa kiume mwenyewe umri usiozidi miaka 27

Nimemaliza degree katika maswala ya kodi mwaka 2014

Nilipata vikazi lakini vya mkataba(contract job) ambazo ndio nilikua nafanya up to this time ambapo mkataba umeisha na hakuna dalili za kuongezewa

Aisee nahitaji mtu yoyote mwenyewe connection hapa Dar es salaam angalau hata nipate pa kujishikiza

Siangalii malipo wakuu swala ninalotaka ni kupata sehemu yakwenda tu asubuhi mana Najua ukiwa na sehemu takutana na watu na tapata hata connection zingine

Sichagui kazi ila ni mfanya kazi mzuri a ia bidii ya kutosha

Naomba kuwasilisha wakuu huku nikihitaji msaada zaidi hata wa mawazo
 
Mkuu mishahara yenyewe ata kukidhi mahitaji ya msingi ya kula.. Kuvaa.. Kulipa kodi na usafiri haitoshi.. Sasa vp unamuuliza swali hilo..
Nisawa lakini kilakitu malengo tuu

Jiulize kwann muuza karanga ana mke

Watoto kajenga Na anasomesha na
Kulisha familiar kwa karanga pakiti 100

Nikwamba kajipangilia na Kujinyima mambo yasio na ulazima hivyo hatakama mshaara haukidhi

Ukijiwekea malengo unatoboa tu
 
Mkuu Pesa ulio ikusanya kipindi
Upo katika mkataba kwann

Usifungue kamradi kako uka jiendeleza mwenyewe

Ajira saivi zimekuwa pauka pakawa

ilangoja waje
Mkuu pesa aisee hakuna mana hata HVO kazi ilikua ya kuunga uga tu
 
Pole sana man.. hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya wabongo hasa vijana graduates kwani mirija ya ajira karibia yooooooooooooooooooote imebanwa na wenye nayo... hili sakata la vyeti feki halijaacha watu wengi sana salama so hopefully linaweza kutengeneza mianya ya ajira though the best way kwa sasa ni kujiajiri tuu maanake hata hizo kazi zilizoachwa na watuhumiwa wa vyeti feki zinaweza zisijazwe leo wala kesho... lkn yote ya yote NI KUMUOMBA MUNGU, YEYE ndo anajua DESTINY ya kila aliyemuumba..Kunaweza kukawa na wakati mgumu kwenye ajira lkn wewe ukatoba... Usinyamaze kwa hili mkuu..
God bless you Mkuu.
 
Amen mkuu
 
Nisawa lakini kilakitu malengo tuu

Jiulize kwann muuza karanga ana mke

Watoto kajenga Na anasomesha na
Kulisha familiar kwa karanga pakiti 100

Nikwamba kajipangilia na Kujinyima mambo yasio na ulazima hivyo hatakama mshaara haukidhi

Ukijiwekea malengo unatoboa tu
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom