Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,395
Hahahh nakumbuka huo uziKuwa mwangalifu unaelekea kutapeliwa..
Kuna mwenzako humu alishoneshewa mpka suti
UmefungaUmeambiwa na nani njoo inbox
Watajewengi mbona wameingia kwa rushwa wengi... TISS ,JWTZ au Polisi.
Wengi sana
Ni kweli kabisa kuna mtu hadi M9wengi mbona wameingia kwa rushwa wengi... TISS ,JWTZ au Polisi.
Wengi sana
Imengwapmnjoo pm
We jamaa bhn sa awataje hili iweje??Wataje
USSR
Walikupeleka kwa mpalange sio bure kwa povu HilTISS wa Tanzania wote ni mbwa koko wakianzia na lile polisi lao eti DG , pumbafu kabisa kazi kutoatoa mavitambulisho bar, kimsingi hawana lolote wanaloliweza trust me , ukiona failures ndio wako kwenye inteligence ujue kuna shida mahala
Unapigwa mapema kabisa asubuhiJamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je kuna ukweli?