Kazi za UNDP Tanzania Hizi hapa Ombeni

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Wada wangu fuatilia hizi kazi watanzania wenzangu nawapenda.

UNDP Tanzania is currently advertising open vacancies in various units and encourages qualified candidates to apply.
Kindly find links below to disseminate among your network.

1

Programme Associate - Democratic Governance

UNDP Career Opportunities

2

Programme Associate – Inclusive Growth & Sustainable Livelihoods

UNDP Career Opportunities

3

Programme Management Specialist

UNDP Career Opportunities

4

ICT Associate

UNDP Career Opportunities

5

Human Resources Associate

UNDP Career Opportunities

6

Human Resources Associate

UNDP Career Opportunities

7

Communication & Resources Mobilization Analyst

UNDP Career Opportunities

8

Programme & Operations Management Specialist

UNDP Career Opportunities

9

Monitoring & Evaluation Specialist

UNDP Career Opportunities

10

Senior Driver

UNDP Career Opportunities

11

Operations Manager

UNDP Career Opportunities

12

Programme Analyst – Inclusive Growth

UNDP Career Opportunities
All positions are FTA and Open to Tanzanian Nationals Only.

Also you can access them through:

UNDP Jobs

Wapendwa kama ilivyo ada nawashushia mzigo huu hapa jaribu bahati yako kama unaona unajiweza. KakaKiiza ukipata tukumbukane
 
Hizi kazi za UNDP ngoja kwanza nikasome ile Master of art in development management pale UDSM then nikishamaliza nikijumlisha na hii bachelor ya uchumi mambo lazima yawe mswano maana lazima nichukue kazi kiulaini.. Inshaalah
 
Nimeona mpaka Senior Driver naye anatakiwa awe na Masters mbee!
 
Nimeona mpaka Senior Driver naye anatakiwa awe na Masters mbee!
Acha kabisa mkuu Allen sr. Hizo ajira hata siahangaikagi kusoma maelezo maana lazima ni kutane na masters au experience miaka 3 sijui wanaajiriwaga watu wa design gani? Maana hata hizo position pale chuo kama ud sijui ulitakiwa usome kozi gani undergraduate
 
Mkuu unakata tamaa hata kabla haujabeba mzigo??mbona vigezo vipo wazi??Na hakuna upendeleo ila watu wanakuwa na mentaliti kuwa mpaka uwe na wakukushika mkono hapana ila unatakiwa uwe na uzoefu na kazi husika!
 
Mkuu upo kwenye hizo sector za mashirika ya kimataifa? Mi huwa na apply sana online lakini sijawahi kupata update yoyote ndo mana nikahisi labda huwa wanahitaji watu wa design flani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom