Kazi za ujenzi Tanga mjini zinaweza patikana sehemu gani

Kidedya

Member
Feb 24, 2020
56
37
Wanajamvi nawasalimu kwa moyo wa upendo kabisa.

Life limenipiga vibaya hapa mjini Tanga na isitoshe bado ni mgeni mgeni

Sasa naona kabisa kazi ambayo haina mlolongo mwingi ni kupiga kazi za ujenzi kama kibarua au vyovyote vile maana nina uzoefu nayo.
Naombeni kujuzwa mahali ambapo ninaweza kwenda na ujenzi upo wa kutosha

Natanguliza shukrani
 
zungukia maeneo ambayo ujenzi ndio unaendelea mfano mwisho wa mji kuanzia mwahako kwenda nema na machui huko au maeneo ya kuanzia kange na kuebdelea
 
Back
Top Bottom