Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,516
2,000
Mkuu ukimaliza unapata angalau na cheti cha utambulisho?
Nijuavyo program hiyo ukimaliza unapata zaidi ya cheti. Unawezeshwa kwa kupewa "nyavu ukavue".

Ngoja aje Mzee Abdul Ghafur, atufahamishe zaidi anamaanisha nini kwa kusema anawawezesha waliomaliza kwa kuwapa "nyavu wakavue".
 
pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,047
2,000
Madrassatul Abraar, darasa la Abraar Bricks Nyumba kwa Wote, sasa kuna ajira kwa vijana wenye hamu ya kuwa mafundi ujenzi kwa mbinu za kisasa.

Tutatoa mafunzo ya awali ya ujenzi kwa kutumia zana za kisasa za ujenzi zilizoundwa kwa kutumia saruji, mchanga

Fursa hii ni kwa wa jinsi zote.

Kwa maelezo zaidi Wasiliana na Abdul Ghafur Whatsapp 0625249605.

Hii ni fursa nzuri sana kwa vijana = changamkieni.

Mleta uzi pia umeandika kiusahihi kwamba "Fursa hii ni kwa wa jinsi zote" Wengi wangefanya kosa lililozoeleka kwa kutumia neno jinsia katika sentensi hiyo.
 
Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
315
500
Nijuavyo program hiyo ukimaliza unapata zaidi ya cheti. Unawezeshwa kwa kupewa "nyavu ukavue".

Ngoja aje Mzee Abdul Ghafur, atufahamishe zaidi anamaanisha nini kwa kusema anawawezesha waliomaliza kwa kuwapa "nyavu wakavue".
Kweli kabisa.

Tuna mpango wa kipekee wa kudhamini wanafunzi wetu wsnaojifunza na kutimiza masharti na vigezo vyetu vya fundi bora.

Dhamana hiyo ni leseni (nyavu) ya kudhamini kazi zote za mwanafunzi aliehitimu kuanzia ubora wa kazi, nidham za miadi, muda wa kazi, uaminifu wa fundi.

Vyote hivyo leseni yetu itamdhamni kwa mteja wake yeyote.

Kwa leseni (nyavu) hiyo, mteja atakuwa hana tatizo tena la kutomaliziwa kazi au kulipia kazi hiyo hiyo kwa kila fundi anaeiacha.
 
Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,242

Asalam alaykum warhamatullah wabarakat.
Nimechelewa kupata hii habari njema kwa vijana. naomba kufahamishwa juu ya mafundi ujenzi ambao tayari wanauzoefu kutoka mahala kwengine mkisha kuthibitisha uwezo wao mnawaajiri hapo chuoni na kuwa wafanyakazi wenu au mnawatafutia kazi na kuwaacha waelewane wenyewe fundi na tajiri mliemtafutia? Na kama mnawaajiri mafundi mshahara kwa siku wiki au mwezi kwa kiwango cha chini unaweza kuwa shilingi ngapi?
 
Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,242
2,000
Nijuavyo program hiyo ukimaliza unapata zaidi ya cheti. Unawezeshwa kwa kupewa "nyavu ukavue".

Ngoja aje Mzee Abdul Ghafur, atufahamishe zaidi anamaanisha nini kwa kusema anawawezesha waliomaliza kwa kuwapa "nyavu wakavue".
Asalam alaykum ant Faiza, nisaidie nduguyo, eti nafasi za mafundi ujenzi hapo madrasat Abraar bado zinapatikana au pamesimamishwa?
 
Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,208
2,000
Tunapenda kuongea posho ukiwa hapa unakiona kinachofanyika live. Ukifika hapa kwa mafunzo tunayotoa, unaweza ukasema wewe utatulipa sisi posho.

Njoo ufanye "study tour" ya siku moja au mbili ujionee, ukutane na wanafunzi na mafundi (wote wamefundishwa hapa hapa. Baada ya hapo tuongelee posho.
Hongera sana Ndugu, Mungu akuzidishie unapotoa. Tukiwapata wengine kama wewe 100, masuala ya kulialia na ajira yatakuwa historia.
 
Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
315
500
Asalam alaykum warhamatullah wabarakat.
Nimechelewa kupata hii habari njema kwa vijana. naomba kufahamishwa juu ya mafundi ujenzi ambao tayari wanauzoefu kutoka mahala kwengine mkisha kuthibitisha uwezo wao mnawaajiri hapo chuoni na kuwa wafanyakazi wenu au mnawatafutia kazi na kuwaacha waelewane wenyewe fundi na tajiri mliemtafutia? Na kama mnawaajiri mafundi mshahara kwa siku wiki au mwezi kwa kiwango cha chini unaweza kuwa shilingi ngapi?
Kwa uzoefu tunaoupata kwenye shughuli hizi, tumejiwekea kuwa aafundi ujenzi ambao tayari wana uzoefu. Ni muhimu sana wapitie darasa letu la vitendo kwa wiki mbili au pungufu kwa kujiongeza maarifa.

Mafundi ujenzi wanapitia mafunzo ya kuelekezwa kuhusu ratio's zenye ubra kwaa vitendo, kama wanalielewa hilo basi inakuwa ni kukumbushana tu.

Pia wanaelekezwa nidhamu za ufundi na ni nini maana ya kuitwa fundi.

Tunawapa kazi za kufanya na tunatazama kwa uzoefu wao wana ubora upi. Pale tunapoona kuna upenyo (gap) ya kuwaongezea maarifa basi tunafanya hivyo, na pale tunapoona wana uzoefu wakutuongezea sisi maarifa basi tunaitumia pia fursa hiyo kujiongezeaa uzoefu.

Mimi nashauri fundi mzoefu, msomi wa ujenzi na engineering, wanaotaka kujenga na hawana uzoefu wa ujenzi pia tutawaelekeza ni namna ipi na vigezo vipi vya kufahamu fundi bora au bora fundi.

Kwa ufupi, tunawakaribisha hata makandarasi wazoefu wawalete mafundi wao tupigane msasa. Makandarasi watachangia gharama za mafunzo. Wengine wote bure.

Kwa maelezo zaidi piga 0625249605 Abdul Ghafur.
 
This is so heavy for most to contemplate Abdul. I know, most Tanzanians are thinking "backwards" (negativity) never forward, except for the few who are blessed (like you) with positivity.

May Allah bless you and all that you do for the good cause. Amin.
 
Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
315
500
This is so heavy for most to contemplate Abdul. I know, most Tanzanians are thinking "backwards" (negativity) never forward, except for the few who are blessed (like you) with positivity.

May Allah bless you and all that you do for the good cause. Amin.
A hahahahah. Faiza kimombo hicho na sisi wazee madrassa tutakiweza wapi?

Umeona suluhisho letu (unique) la usafi wa jiji na miji ya Tanzania? Lipo kwenye group.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom