Kazi za Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?
 
Nadhani ujumbe umefika mkuu,ngoja tuone hatua......
 
Hakuna haja kuiga mtindo wa UVCCM. Mwenyekiti BAVICHA anayo majukumumengi, katoka kwenye uchaguzi juzi juzi, anahitaji kupumzika na kujipanga upya kwa kuangalia namna ya kwenda. Hivyo vingine mdau alivyosema nadhani ana ushahidi atupatie ili tumwajibishe kiongozi wa taasisi kubwa kama hii kufanya hayo si maadili ya kiongozi tunayemtaka Tanzania.
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

Kwahiyo kwa ufahamu wako unadhani majukumu ya mwenyekiti wa umoja wa vijana, awe ccm ama chadema ni kufungua matawi?

Hizi akili za kuiga kila kitu mbaya sana. Yani mara hii umeshasahau shughuli alokuwa akiifanya mwenyekiti wa bavicha huko igunga?

Kwahiyo kama beno malisa asingefungua matawi arusha, usingejua kazi za mwenyekiti wa vijana!?
 
Kwani Igunga hukumwona? au Kazi zake lazima zifanane na za Malisa? Tafuta katiba ya Mabaraza ya Chadema ikiwamo Bavicha ili ujue kazi zake ni zipi?
 
Kazi ya kubwa ya Mwenyekiti wa Bavicha John Heche, ni kufoka hovyo.

Taingia achaguliwe kaishatoka matamko zaidi ya 50 yasiokuwa na tija kwa taifa.
Kingine ni jaribuni kumshauri sio kila siku lazima avae Magwanda ya CDM
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

Huyu ni sehemu ya kundi la wale walioukosa Uenyekiti BAVICHA hapa anatafuta tu chokochoko. Anyway kwa kumsaidia ni kwamba Malissa hakwenda kufungua matawi ya CCM bali alienda kufungua matawi ya CCM-LOWASSA baada ya kuona yale ya CCM-MEMBE ni mengi kuliko Counterpart..
 
Kazi kubwa ya Mwenyekiti wa Bavicha Mr. John Heche ni kuhakikisha kuwa familia ya Mbowe imekula, imeoga na imelala kwa amani.
 
vita ya panzi unaita ni kufungua matawi?
kaka unakuwa kama hukijui chama chetu cha mapinduzi?
subiri vioja na viroja vinakuja.
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?
Una uhakika kuwa hajawahi kufungua matawi?au kila akifungua lazima akwambie na isitoshe kazi ya mwenyekiti ni zaidi ya hiyo.
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

waulize mods kama heche ana akaunti ili um-PM.
 
acha mawazo mgando, unataka kila tawi atakalo fungua aite media ili zireport, tunakujua wewe, Heche alikushinda kwenye kinyang'anyiro alaf leo unataka kuleta uchuro wako wa magamba!
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

Unaongelea mambo unayoyasoma kwenye magazeti na mambo unayoyaona kwenye luninga. Kama ukitaka kujua mwenyekiti wa BAVICHA anafanya nini mfuate huko aliko ujue. Inasikitisha kutijita wewe ni CDM wakati uko mstari wa mbele ku propagate propaganda za CCM.
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

Brother rudi ukajipange. Waambie urudi kule wanakofundishwa wakakukomaze somo la kujenga hoja hata katika kupropagate. Kama unafikiri kazi ya Mwenyekiti kama Heche ni kufungua matawi, basi yeye alianza kuifanya tangu hajawa mwenyekiti, akiwa pale SAUT. Akiwa akina kamanda Kamka...Kaulize pale. Lakini pia mapema tu baada ya uchaguzi ule na Kamanda Heche kuteuliwa alienda kufanya kazi ya chama Arusha, kabla na baada ya kutimuliwa madiwani wale. Mikutano mikubwa pale kapiga, achilia mbali matawi. Yeye ndiye aliyeongoza timu ya kwanza kabisa kwenda Igunga na tukaweka hapa Operesheni Chukua Igunga (OIC), baadae tukabidili kidogo na kuiita Operesheni Komboa Igunga (OKI). Siku 12 za kazi nzito kueneza chama Igunga yote, vitongojini, vijijini, katani na tarafani, akifungua matawi na kupiga mzigo wa kupata wanachama na wafuasi, zilipokelewa baadae na akina Kamanda Waitara (utafiti) na Kamanda Benson (msimamizi wa uchaguzi). Kazi alizofanya Heche, ikiwemo kutoa matamko ndani ya miezi mitatu au minne ya uenyekiti wake, huwezi kuifananisha in anyway na mwenyekiti yeyote mwingine wa chama, achilia mbali mwenyekiti wa vijana, ukiondoa vyama vitatu vya CCM, CHADEMA, CUF.
 
jana nimemuona Benno Malisa akishiriki kufunga matawi ya ccm Arusha , Lakini Tangia uchaguzi uishe wa BAVICHA sijawahi kumuona John Heche akishiriki kwenye shughuli yeyote ya ujenzi wa chama zaidi ya kulionya jeshi la polisi na kutoa mattamko kwenye press conference , je kazi za mwenyekiti ni hizo tu au zipo na nyingine? au kazi ni kushiriki maandamano tu?

Kumbe Beno Malisa alikuwa anafunga Matawi? Heche hana haja ya kufanya hivyo kwani siyo shughuli ya ujenzi wa chama.
 
Kazi ya kubwa ya Mwenyekiti wa Bavicha John Heche, ni kufoka hovyo.

Taingia achaguliwe kaishatoka matamko zaidi ya 50 yasiokuwa na tija kwa taifa.
Kingine ni jaribuni kumshauri sio kila siku lazima avae Magwanda ya CDM
Mara yako ya mwaisho kupost kitu cha maana hapa jamvini ni lini? Kwani lazima uchangie kila uzi?
Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako - by Invisible
 
HECHE kazi yake kubwa ni kuelimisha vijana ili waweze kujitambua na kujua haki zao.Heche ana kazi ya kuwaelimisha vijana athali za ufisadi na serikali ya ccm.ukitaka kujua kama heche anafanya kazi Muulize kijana aliyekaa jirani yako chama gani anakikubali.jibu utakalopata mpelekee nape.Kichwa kimoja cha HECHE ni sawa na vichwa vyote vya nape,mallisa,chiligati,makamba jr na msekwa.
 
Hivi CDM Taifa wameishamtafutia Mwenyekiti wa Bavicha, Heche, nyumba ya kuishi mpaka saizi ni aibu kuendelea kukaa kwa kaka yake pale Sinza Mori
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom