Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Zitto Zuberi Kabwe ni
1. Kiongozi Mkuu wa chama kwenye mikutano mikuu ya chama Taifa, mkutano mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu
2. Mkuu wa siasa, mshauri na mwelekezaji kwa viongozi wote (Akiwemo Mwenyekiti) na maafisa wa ACT-Tanzania.
3. Kuteua wajumbe watano wa Kamati Kuu kwa mujibu wa Katiba hii
4. Mtoa tamko (Katibu Mwenezi) rasmi kuhusu masuala ya sera na mtazamo wa chama
5. Mtoa habari mahususi kwenye mkutano mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu kuhusu hali ya kisiasa nchini na masuala mengine ya kitaifa na kimataifa.
6. Msimamzi wa Mafunzo na Mtoa maelekezo kuhusu shughuli zote za ACT-Tanzania
7. Ndiye Kiongozi Mkuu wa Chama.
8. Ni NURU na TASWIRA ya ACT-Tanzania
That is Zitto Zuberi Kabwe. Najiuliza Huyu Mzalendo haya Mavyeo atayaeza yote kweli?
Mytake.
Aidha Zitto Kabwe hapendi Kuongozwa ama ACT hawaamini kama wanayaweza Majukumu yao ndio Maana wamebadilisha Katiba siku ya Mkutano ili Kukidhi Matakwa yake.
Alichokikosa akiwa CHADEMA ndo amekipata akiwa ACT. Mwacheni tumuone kama ataweza.