Kazi yangu imeathiriwa na Corona. Natafuta kazi niweze kuishi. Nipo Arusha

mjizu123

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
349
368
Habari zanguzangu wote wakristo kwa waislam; mabibi na mabwana.

Mimi ni kijana ambaye naishi ARUSHA ambae kazi yangu imedhiriwa na CORONA kwa asilimia mia moja kwa sasa nipo nyumbani na sina kazi yoyote.

Na kama tunavyojua kwa kipindi hiki kazi zimekuwa ngumu sana kupatika baada ya ugonjwa huu kuingia nchini kwetu.

Sasa basi kwa upole na uruma kwa yoyoye mwenye kuitaji mfanyakanzi MIMI NIPO KWANI NINA UITAJI MKUBWA SANA WA KAZI SICHAGUI KAZI

Naombeni sana ndugu zangu kwani ukinisaidia leo nami nikifanikiwa nitasaidia wengi zaidi
Kwani ni m TANZANIA mwenzenu mwenye umri wa miaka 31 naishi ARUSHA kwa mwenye nia kweli ya kunisaidia anaweza nitumia ujumbe PM nami nitajibu

Asanteni sana ndugu zangu mtakao guswa kunisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zanguzangu woteiwakristoaislwaislambmabibidugumabwanai kijana ambae naishi ARUSHA ambae kazi yangu imedhiriwa na ,CORONA kwa asilimia mia moja kwa.sasa nipo nyumbani na sina kazi yoyote

Na kama tunavyojua kwa kipindi hiki kazi zimekuwa ngumu sana kupatika baada ya ugonjwa huu kuingia nchini kwetu

Sasa basi kwa upole na uruma kwa yoyoye mwenye kuitaji mfanyakanzi MIMI NIPO KWANI NINA UITAJI MKUBWA SANA WA KAZI SICHAGUI KAZI

Naombeni sana ndugu zangu kwani ukinisaidia leo nami nikifanikiwa nitasaidia wengi zaidi
Kwani ni m TANZANIA mwenzenu mwenye umri wa miaka 31 naishi ARUSHA kwa mwenye nia kweli ya kunisaidia anaweza nitumia ujumbe PM nami nitajibu

Asanteni sana ndugu zangu mtakao guswa kunisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali hiyo imewakuta wote matajiri na masikini . Fanya tu ubunifu utavuka

Ila sasa MWANDIKO . Sijui ni wa memkwa , mmem au shule za kata ?!. Au ndiyo njaa yenyewe

Odhis *
 
Mleta mada ulikuwa hotelia au tour guide au Mgumu?
Jieleze vizuri ni kazi gani unaweza,kiwango chako cha elimu nk?
 
Habari zanguzangu wote wakristo kwa waislam; mabibi na mabwana.

Mimi ni kijana ambaye naishi ARUSHA ambae kazi yangu imedhiriwa na CORONA kwa asilimia mia moja kwa sasa nipo nyumbani na sina kazi yoyote.

Na kama tunavyojua kwa kipindi hiki kazi zimekuwa ngumu sana kupatika baada ya ugonjwa huu kuingia nchini kwetu.

Sasa basi kwa upole na uruma kwa yoyoye mwenye kuitaji mfanyakanzi MIMI NIPO KWANI NINA UITAJI MKUBWA SANA WA KAZI SICHAGUI KAZI

Naombeni sana ndugu zangu kwani ukinisaidia leo nami nikifanikiwa nitasaidia wengi zaidi
Kwani ni m TANZANIA mwenzenu mwenye umri wa miaka 31 naishi ARUSHA kwa mwenye nia kweli ya kunisaidia anaweza nitumia ujumbe PM nami nitajibu

Asanteni sana ndugu zangu mtakao guswa kunisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo salamu umetitenga tusiowafuasi wa hizo dini mkuu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom