Kazi ya Wabunge wa Viti Maalum ni nini?

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
275
802
Nimetafakari na kubaini kuna aina nne za wabunge na kazi zao ( nipo tayari kukosolewa)

1. Wabunge wa Majimbo

Hawa hupigiwa kura na wananchi wa jimbo. Hupewa ridhaa na wananchi wakawakilishe Bungeni.

2. Wabunge wa Mapingamizi
Hawa hutangazwa na tume bila ya kupigiwa kura. Hawa huwakilisha wanachama wa chama chake bungeni. Wananchi wasio wanachama wa chama chake wanakosa uwakilishi.

3. Wabunge wa Viti Maalumu- Wanawake
Hawa huwawakilisha wakina mama wa chama chao katika mkoa/ kundi alilotoka

4. Wabunge wa kuteuliwa
Hawa wanamwakilisha rais Bungeni.

Wabunge wa Viti Maalum hoyee
 
Wabunge halali hapo ni hao wa kundi la kwanza tu. Waliobakia wote kuanzia hiyo 2,3 na 4 wanaifilisi tu Nchi yetu.
Kwa bunge la Sasa hata hao kundi la kwanza wengi Ni wa michongo ukianzia na mbunge wako kipara
 
Back
Top Bottom