Kazi ya uwanasiasa! Nape na Zitto hawana uzoefu wa maisha ya Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya uwanasiasa! Nape na Zitto hawana uzoefu wa maisha ya Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, May 13, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi ni kijana kama Nape na Zitto hivyo siwasemi kwa ubaya bali ukweli tu.

  Kwa nchi yetu kuwa na viongozi wazuri ni lazima tuwe na viongozi wenye uzoefu wa maisha ya Watanzania. Hii ni pamoja na kufanya kazi za kawaida na si siasa tu. Hawa jamaa mimi navyofahamu hawajawahi kufanya kazi za kawaida na maisha yao sasa wanafikiria siasa ndiyo kitengo chao cha kazi.

  Nape ni mfano nzuri hana kazi na anategemea CCM tu kuishi. Hivyo huyu kijana atasema lolote kisiasa kwasababu hana uwezo wa kufanya kitu kingine na anategemea siasa tu. Miaka yote amekulia baba yake ni mwana CCM na yeye hajui lingine ni CCM tu. Kuleta maendeleo tunataka vijana walio na uzoefu wa maisha na kufanya kazi za kawaida na kujua Mtanzania wa kawaida anaishi vipi na ni jinsi gani ya kumsaidia. Hawa jamaa wanachojua na uhodari wa kuongea na mimi si dhani kama ni kitu kizuri kimaendeleo. Nchi yetu imekuwa na wanasiasa wengi sana ambao wanategemea siasa kwa maisha yao yote.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi Zitto anaingiaje hapa?
  Nape ni crap to be.
  Zitto ameshaanza kurudi kwenye form yake makali yanaanza kushika kasi
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Lakini wana bahati mbaya sana,manake siasa sio isue ya kutegemea!!ndo maana zito kakimbia kununua hummer!!!aghhhhhhhhhhhh
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  zitto amekuwa kiongozi wa wanakigoma kwa miaka 10 sasa.

  muambieni huyo nape aliyepewa kazi ya kuwa karibu na wanancnhi (mkuu wa wilaya masasi), lakini hata mwaka hajamaliza karudi kupiga matarumbeta kama tambwe hiza.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  ni bora kuliko angeenda kununua hoteli huko dubai
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kufananisha Nape na Zitto ni Sawa sawa na Kufananisha Mlima Kilimanjaro na Kichuguu. Zitto yuko kwa Maslahi ya Umma
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kumlinganisha zitto n nape ni kama kulinganisha mchicha(nnape) na mbuyu(zitto)
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tujaribu kuelewa maudhui ya habari hapa. Anatueleza uzoefu wa maisha katika maisha ya kawaida ya mtanzania yanamjenga mtu kuwa kiongozi mwelewa vizuri na kujenga uvumilivu wa maisha katika kuongoza watu.
  Wengi wa vijana wasiokuwa na msingi wa maisha ya kila siku na kufanya jitihada za kupambana na misukosuko ya maisha huwa wanakuwa na fikra za kufikiria kupaa haraka bila kuweka msingi wa maisha na uongozi. Uzoefu wa maisha ni tija kubwa katika uongozi. Nimemwelewa sana mtoa mada hapa. Sote tu mashuhuda, tusishabikie tu bila kupima mambo kwa undani
   
Loading...