Natafuta kazi ya udereva, nina leseni daraja D

Mchungaji84

Member
May 22, 2019
11
1
Habari zenu wakuu

Natafuta kazi ya udereva wa gari ndogo ya aina yoyote au pick up nina leseni class D, elimu yangu ni sekondari.

Nimemaliza veta kozi ya udereva

Msaada wenu ndugu zangu.

Nipo Dodoma .
 
Habari zenu wakuu natafuta kazi ya udereva wa gari ndogo ya aina yoyote au pick up nna leseni class D, elimu yangu ni chuo.
msaada wenu ndugu zangu.

Nipo Dodoma .
Mkuu kwa kuwa unatafuta kazi ya udereva ondoa hapo kuwa una elimu ya chuo....sema tu una elimu ya form four itatosha...thank me later
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom