Kwenye sector ya utalii kama mtu hajawai kufanya kaz ndio mwanzo anatafuta huwa inakua ngumu kidogo,sababu wapo vijana wengi sana wanatafuta iyo kaz pia wenye makampun asilimia kubwa wanatoa kazi kwa kujuana,mfano mimi niliagiziwa mahal kuna nafas ya kaz kufika nikaulizwa "umeambiwa na nani? umeshafanya kazi wapi? nani unamfahamu hapa?"Ushaur wangu tafuta mtu aliye kwenye sector hiyo amsaidie atafanikiwa.Jamani !!!!!!
Ndo simjui mtu yaan wa kunisaidia, that's y nimekuja humu kutafuta.Kwenye sector ya utalii kama mtu hajawai kufanya kaz ndio mwanzo anatafuta huwa inakua ngumu kidogo,sababu wapo vijana wengi sana wanatafuta iyo kaz pia wenye makampun asilimia kubwa wanatoa kazi kwa kujuana,mfano mimi niliagiziwa mahal kuna nafas ya kaz kufika nikaulizwa "umeambiwa na nani? umeshafanya kazi wapi? nani unamfahamu hapa?"Ushaur wangu tafuta mtu aliye kwenye sector hiyo amsaidie atafanikiwa.
Pole sana,INA maana huyo kaka yako hajiongezi hata kuuliza chuo chake kimsaidie namna ya kupata ajira,au home kwenu mambo safi(Kula,kulala,bure)?Habari zenu wapendwa?
Namtafutia kazi kaka'ngu, ana diploma ya tourism na pia amejifunza driving.
Amekaa mtaani siku nyingi plz naombeni msaada wenu juu ya hili kwa anayeweza nisaidia.