Kazi ya tanboy safari za mikoani au nje ya nchi

Mudi_kidato

Senior Member
Sep 6, 2019
145
182
Habari wana JF nimerudi tena, leo nimekuja na jambo moja. Mimi ninafanya kazi vizuri, inaniingizia kipato lakini kuna kitu napenda sana maisha yangu. Napenda kufanya kazi ya udereva au tanboy katika magari ya nje au ya hapa ndani.

Pia kama itatokea nikapata conection nikaweza kupata mtu wa kuniweka kushoto nikapata uzoefu nitashukuru nitaacha kaz ninayofanya nitafuatana naye hata ikiwa bure bila malipo sawa.

Wale matapel kaeni mbali sina hela ya kutoa ndiyo nipate kazi.
 
Nenda pale ubungo kapambane sana ili uwe konda kupitia kutengeneza kufahamiana na watu pamoja na uaminifu. Ukondakta ni nyeti sana kwenye gari za abiria kwa hiyo hawawezi kuchukua mtu wasiye mfahamu sababu kondakta ndiyo mapato ya gari,,, pili utingo au utaniboy kuupata kwa mtu asiyekufahamu mara zote huwa si rahisi na makampuni mengi siku hizi hayaajiri matandboy/utingo. Kikubwa tafuta mtu unayemfahamu anayeendesha malori akuchukue ikishindikana tafuta hata watu wa pembeni wanaofahamiana na madereva wakuunganishie. Zikishindikana zote nenda kwenye mayard au gereji za magari ya nizigo/mabasi kaulizie.
 
Asante mkuuu nimeelewa vzur sana

from mudi kidato
 
Nenda jangwani pale yanapopaki malori unaweza pata dereva akakuchukua
 
Mwana JF mwenzetu hapo juu Black short kakujibu vema kabisa mtoa hoja,jitahidi ujifunze jinsi ya kuendesha magari makubwa,pata leseni yake,also learn about ABC kuhusiana na masuala ya kiufundi then fanya uamuzi mgumu,vuka mpaka ukiwa na passport yako,Driving licence yako,jaribu DRC,Namibia,Zambia,hadi SA MAANA huko ndiko biashara hii ipo sana,sisi bado tunalala na matokeo yake mizigo mingi ya DRC inakwenda kusini na Walvis Bay kabla ya kuja kwenye bandari zetu elewa sky its the limit.
 
Asante mkuu nalifanyia kaz hili japo nitatumia mda mrefu sana kupata hizi conection eeh

from mudi kidato
 
Back
Top Bottom