Kazi ya siku tano

makasy

Member
Nov 20, 2018
15
1
Natafuta Vijana wawili tu Kwa Kila Mji kwenye Miji ifuatayo:-
Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza, Tanga na Mtwara.
Nahitaji Vijana hao kwa Ajili ya Kazi ya Kutoa Elimu na Kusajiri Madereva wa Boda Boda, Taxi na Baji kwenye Mfumo wa Kuwasaidia Kupata Abiria (HAVEN). Kupitia Mfumo Huu Dereva na Abiria Wataweza Kuonana kwenye Ramani za Mji Husika. Pia Dereva ataweza kuona Route ya Abiria wake.
NOTE:
1.Mfumo Huu Utaweza Kutumiwa Pia na Madereva Wasio na Smartphone au Ambao smartphone zao zimeishiwa chaji.
2. Hii Ni kazi ya Siku tano tu kwa Watakao kuwa Wamepewa Kazi hii.
3. Muombaji awe na Android Smartphone
4. Fursa hii ni Kwa Vijana tu bila kujali Kiwango cha Elimu Yake
Maombi Yatumwe Kwenda (Wasifu TU/CV tu)- xebusinesshaven@gmail.com au softwaremachinga@gmail.com
 
Mkuu ni kwa vijana walio katika mkoa husika au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Hiyo HAVEN itakuwa Mikoa Yote Tanzania na Madereva hawatalipa Kamisheni kwa kila Kichwa

Pia Nauli ni Maelewano kati ya Dereva na Abiria, na abiria asiporidhika na nauli anaweza kucancel request na kuchagua dereva mwingine
 
Back
Top Bottom