Kazi ya Polisi Tanzania ni kuua na kutoa vibali sio kulinda raia?

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Nimesoma habari moja kwenye Gazeti la Tanzania Daima na kukuta kitu kilichonishagaza kuwa waandishi wa wasichukue Habari mpaka wapate Kibali kutoka Polisi.

Nukuu kutoka Tz Daima:
FFU, wanafunzi wapambana
Waandishi wa habari ambao pia walikuwepo katika eneo hilo wakifanya kazi yao nao walizuiwa kuchukua habari hizo na askari polisi hadi wapate kibali kutoka polisi.

Source: FFU, wanafunzi wapambana

nataka kujua tangu lini Polisi ikawa inatoa Vibali kwa waandishi wa habari au kwenye mikutano?
Je wao wanapoua raia au kuwapiga bila ya sababu yoyote wanapata kibali wapi?

Tumechoshwa na ukiritimba na maonevu ya Wahuni wanaolijafua Jina la Polisi kwa manufaa ya Magamba
 
Hivi jeshi lote la polisi ndo liko hivyo ama ni watu wachache jamani!??
 
Back
Top Bottom